Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Nini Siri ya hayo masharti. Baada ya muda utayumba na utatakiwa kurudi tena, ndo utaongezewa masharti, baada ya muda utafikia point of no return, sio kazi rahisi kama mnavyofkria.

Shart la Kwanza ni kianzio tu, utakuwa unaongezewa masharti bila kuliacha lile la Kwanza .....It is costfull not easy in the long run
Ni kweli

Waganga wa ndagu ni wajinga sana
 
Ni siku 3 au 4 sasa nilipigiwa simu kuwa B. Njimwite wa Ngende mkoani Lindi, wilaya ya Liwale,Kijiji Cha mpigamiti ameshaaga Dunia.

Ni mganga pekee Afrika aliyekuwa anapokea buku 2 tu kisha yeye kukupa pesa ya mtaji.
Utajiri ndani ya mwezi mmoja tu, ukikosea masharti ufukara utakucharaza mpaka utajuta.
No kumwaga damu.

Utachaguliwa sharti moja, either
  • Ugonge mwanamke mmoja tu.
  • Usilale kwenye nyumba yenye umeme,
  • Usinunue gari ya kutembelea , jaza milori , tax n.k ila hakuna Kununua gari ya kutembelea.
  • Usivae viatu vya kufunika
  • Usivae suruali ndefu.
  • Hakuna kumsalimia mtu kwa mkono.
  • Usimwamkie mzazi au mtu yeyote.
  • Unye kichakani tu.
N.k, n.k
Nafuu huyo Njimwite masharti yake ni mepesi. Wakinga mganga wao ni Mwakipande aliyerithi kwa Baba yake ambaye alikufa kama miaka 15 iliyopita. Wakinga zaidi ya masharti hayo la kwanza lazima umuue au umfanye msukule ndugu wa karibu. Yaani Mama, mtoto wako au mdogo wako
 
Utachaguliwa sharti moja, either
  • Ugonge mwanamke mmoja tu.
  • Usilale kwenye nyumba yenye umeme,(huu ni ujinga)
  • Usinunue gari ya kutembelea , jaza milori , tax n.k ila hakuna Kununua gari ya kutembelea.
  • Usivae viatu vya kufunika
  • Usivae suruali ndefu.(siwezi bora nife na umasikini wangu)
  • Hakuna kumsalimia mtu kwa mkono.(hii nayo ngumu)
  • Usimwamkie mzazi au mtu yeyote.(hii ngumu,utaonekana una kiburi)
  • Unye kichakani tu.
 
Ni siku 3 au 4 sasa nilipigiwa simu kuwa B. Njimwite wa Ngende mkoani Lindi, wilaya ya Liwale,Kijiji Cha mpigamiti ameshaaga Dunia.

Ni mganga pekee Afrika aliyekuwa anapokea buku 2 tu kisha yeye kukupa pesa ya mtaji.
Utajiri ndani ya mwezi mmoja tu, ukikosea masharti ufukara utakucharaza mpaka utajuta.
No kumwaga damu.

Utachaguliwa sharti moja, either
  • Ugonge mwanamke mmoja tu.
  • Usilale kwenye nyumba yenye umeme,
  • Usinunue gari ya kutembelea , jaza milori , tax n.k ila hakuna Kununua gari ya kutembelea.
  • Usivae viatu vya kufunika
  • Usivae suruali ndefu.
  • Hakuna kumsalimia mtu kwa mkono.
  • Usimwamkie mzazi au mtu yeyote.
  • Unye kichakani tu.
N.k, n.k
Masharti hayo yote sioni hata moja lenye nafuu
 
Hilo la kuwa na mwanamke mmoja mnalichukulia poa Ila ni gumu mno wakuu..
Hyo ya demu mmoja ngumu coz ukishaanza kuwa hela totoz zinakuja tu dadeki huchomoki...

Hyo ya kutokuvaa viatu vya kufunika ndio rahisi kuliko zote hapo mana mfano mie nimejiajiri so mishe zangu haziitaji kuvaa smart sana so naeza kaa hata miez sijavaa viatu sendo tu....
 
Back
Top Bottom