Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Mie ningeweza kuwa na mtu mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asingekupa hilo hauchagui wewe yeye ndio anachagua na anakupa gumu ambalo anajua tu lazima uvunje, wewe angekupa la kunya machakani huko hakuna kunya chooni hata choo cha stand marufuku ukibanwa na tumbo la kuhara tafuta Chaka ujimalize ole wako uingie chooni 🤪Kwenye kutokuvaa viatu vya kufunika ningeweza, ndo hivyo tena kesha dead
Asingekupa hilo wewe ungepewa la kunya vichakani,Mie ningeweza kuwa na mtu mmoja
Na yeye anajua hilo kwa hio asingekupa sharti jepesi hivyo, angekupa la kunya machakani huko hata ukijenga jumba la kifahari basi nje Jenga na kichaka Cha kujisaidia ukibanwa na MaviSharti la kutokuvaa viatu vya kifunika, ningeweza, mie mvivu mnoo wa kuvaa viatu vya kufunika kwangu ni mtihani
😆😆😆🤪Hilo sharti la kichakani imagine umebanwa kijitonyama au sinza mpaka ukute kichaka ushaharibu mambo😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo sharti la kichakani imagine umebanwa kijitonyama au sinza mpaka ukute kichaka ushaharibu mambo[emoji23][emoji23]
Siku ukilazwa hosp kwa kuhara sijui inakuwaje hapoIla imani hizi.
Hivyo hicho kipengele cha mwisho inabidi na utajiri wote anaopatiwa mtu kama ni eneo analoishi basi mtu atengeneze kakichaka spesho kwa kazi hiyo ili asiende nje ya masharti. [emoji1787]
Nami ndio maama sijaenda huko. 😂Na yeye anajua hilo kwa hio asingekupa sharti jepesi hivyo, angekupa la kunya machakani huko hata ukijenga jumba la kifahari basi nje Jenga na kichaka Cha kujisaidia ukibanwa na Mavi
Kabisa yani bora upoteze hirizi atakupa nyengine.Kufiwa na mganga ni pigo sana
Acha dharau jomba wewe angekupa la kuishi chooni kwa sababu huu unene wako hutokosa kunya ovyo . Halafu asingekuruhusu kuvaa viatu vyakufunikaAsingekupa hilo wewe ungepewa la kunya vichakani,
Umesema kuishi Chooni? Kwanini nisivae viatu vya kufunika?Acha dharau jomba wewe angekupa la kuishi chooni kwa sababu huu unene wako hutokosa kunya ovyo . Halafu asingekuruhusu kuvaa viatu vyakufunika
Maana unafungus ukivaa utazidisha ugonjwa bora vya wazi usitokoteUmesema kuishi Chooni? Kwanini nisivae viatu vya kufunika?
Si napakaa mafuta we vipi wewe?Maana unafungus ukivaa utazidisha ugonjwa bora vya wazi usitokote
Wewe ni mchafu mchafu hupendi kuoga alitakiwa kukupa utajiri wakutoga mara moja kwa mwakaSi napakaa mafuta we vipi wewe?
Noma sana!Kaacha mkoba nyuma utabaki unafanya kazi.