Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Kwa experience ya rafiki zangu, miaka ya 2000 machangu wa Mwananyamala walikuwa wanaadai sh.500 za Tanzania. Haikuwa hiyo
Watu kwa kujitoa tu hawajambo.
Hata kama utasema kwa experience yako mwenyewe hakuna shida mkuu, hii kitu mbona ya kawaida sana! lol
Duuuuuuhhhh,
Kaka unataka kumfanya shahidi mtuhumiwa??
Sijui ila kama 2000 walikuwa wanadai 20000, leo sitakuwa wanadai laki 2.....Na hiyo biashara itakuwa bado ipo??
Babu DC!!
Mhh,
Kaka leo unatumia macho yako au na miwani pia??
Babu DC!!
Mkuu usiwe na shaka yoyote, shahidi hawezi kuwa mtuhumiwa katika kesi hii, naona umepaniki bure.
Nachotaka mimi ni shahidi kuthibitisha kwamba miaka kumi iliyopita rate ilikuwa sh.500, ama sh.1,000 na sio sh.20,000 kama mlalamikaji anavyodai.
Hata kama ulisikia, we tuambie tu, tutaupokea ushahidi wa kuambiwa!!
Hakika huyu hakuwa changu mwanafunzi, yupo makini kupata vithibitisho muhimu vitakavyokufanya ulipe bila kugeuka, ha hahha hha :shock:
Mkuu kama una mashaka na "rate" ya changudoa wa mwananyamala miaka kumi iliyopita, tutaomba uthibitisho toka kwako, kwamba kwa uzoefu wako ilikuwa ni bei gani! lol
Hongera...
Sijui ungekuwa huna hiyo elfu 20 ingekuwaje
Siyo mimi jamani, ni rafiki yangu, mbona mnanisingizia................ Ngoja niseme na Mods, aiondoe hii habari, maana naona inaniletea noma sasa..............................
Naenda kusema kwa mama, kuseeeeema!
Kule nyumbani umamuachia bukuuuuuuu...<Singing happily>