Yule changu akaniletea noma!

Yule changu akaniletea noma!

Kwa experience ya rafiki zangu, miaka ya 2000 machangu wa Mwananyamala walikuwa wanaadai sh.500 za Tanzania. Haikuwa hiyo

Watu kwa kujitoa tu hawajambo.

Hata kama utasema kwa experience yako mwenyewe hakuna shida mkuu, hii kitu mbona ya kawaida sana! lol
 
ya kufungia mwaka hii, tujiadhari siku nyin gine anakuja mojak wamoja kitaani
 
Duuuuuuhhhh,
Kaka unataka kumfanya shahidi mtuhumiwa??

Sijui ila kama 2000 walikuwa wanadai 20000, leo sitakuwa wanadai laki 2.....Na hiyo biashara itakuwa bado ipo??

Babu DC!!

Mkuu usiwe na shaka yoyote, shahidi hawezi kuwa mtuhumiwa katika kesi hii, naona umepaniki bure.

Nachotaka mimi ni shahidi kuthibitisha kwamba miaka kumi iliyopita rate ilikuwa sh.500, ama sh.1,000 na sio sh.20,000 kama mlalamikaji anavyodai.
Hata kama ulisikia, we tuambie tu, tutaupokea ushahidi wa kuambiwa!!
 
mhh Kumbe watu wengi wanakuja ofcn wameamkia kwa changudoa??? watu wana roho ngumu sana !!!!
 
Mhh,

Kaka leo unatumia macho yako au na miwani pia??

Babu DC!!

Haya ni matokeo ya pilau la krismasi.

Kuna mdau mmoja anadai hili pilau la krismasi ndio maisha bora yenyewe tuliyoahidiwa na mkuu wa kaya. Sasa kama ndivyo, kwanini tutumie miwani!?
 
Mkuu usiwe na shaka yoyote, shahidi hawezi kuwa mtuhumiwa katika kesi hii, naona umepaniki bure.

Nachotaka mimi ni shahidi kuthibitisha kwamba miaka kumi iliyopita rate ilikuwa sh.500, ama sh.1,000 na sio sh.20,000 kama mlalamikaji anavyodai.
Hata kama ulisikia, we tuambie tu, tutaupokea ushahidi wa kuambiwa!!

Kaka,

Hebu sasa nikueleze,

Hapa ninapoishi mie, si mbali na kituo alichotembelea huyo rafiki yake fundi mchundo, rate ya mtandao wa kawaida kwa sasa ni 5000-10000 na duo au ule mtandao wa vijana ni 10000-20000.

Sasa kama tunarudi nyuma 10 yrs, huoni kwamba tunaweza kufuta sifuri moja kwa kila rate bila kujiingiza kwenye hatia??

Babu DC!!
 
Hakika huyu hakuwa changu mwanafunzi, yupo makini kupata vithibitisho muhimu vitakavyokufanya ulipe bila kugeuka, ha hahha hha :shock:
 
Hakika huyu hakuwa changu mwanafunzi, yupo makini kupata vithibitisho muhimu vitakavyokufanya ulipe bila kugeuka, ha hahha hha :shock:

Kweli kabisa,

Mwanafunzi aligeuka mwalimu....sasa mwanafunzi ndo anaonekana wazi wazi!!
 
Mkuu kama una mashaka na "rate" ya changudoa wa mwananyamala miaka kumi iliyopita, tutaomba uthibitisho toka kwako, kwamba kwa uzoefu wako ilikuwa ni bei gani! lol

Hivi hujawahi hata kuibiwa waleti?
Kama bado una safari ndefu...lol
 
Siyo mimi jamani, ni rafiki yangu, mbona mnanisingizia................ Ngoja niseme na Mods, aiondoe hii habari, maana naona inaniletea noma sasa..............................

Tutawatumia wazee wa intelejensia wajekuhakikisha kama siyo wewe kweli
 
Back
Top Bottom