Yule demu wa Ali Kiba wa Mwanza naye adai kapata mimba

Mimi kwa huyu demu nachoshangaa ni kitu kimoja tu,
Sijawahi kum-follow insta na wala simjui lakini nimeshangaa kua eti nami ni among followers wake,
Nimewaza hata pengine Kuna account ingine ya mtu mwengine nilii-follow then akaja kuibadili
 

Uyu anaonesha kajaaliwa uko nyuma, sura haina shida.
 
Si kwa dem huyo dah! Bora nikale makombo ya King Mswati[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…