Hahahahahah hapo sawaYe ndio anafanya mpango wa kuwatoa kimaisha.
Tatizo Diamond mwenyewe ana sura mbaya akichukua mwanamke kama mimi huyo mtoto sijui atatokaje maskini acha achukue haohao kina SepengaNa nyie ' Wasanii ' wa Kibongo muwe mnaangalia na ' Mademu ' wa kuwa na kuzaa nao. Nadhani katika ' Mademu ' wote ambao nimewahi kuambiwa / kusikia kwamba wametoka au wanatoka ' Kimahusiano / Kibaiolojia / Kingono ' na Ali Kiba huyu anayeonekana ' pichani ' ni mbaya kuliko wote. Mimi pamoja na Umasikini / Ukapuku / Ungarambe wangu huu lakini sichukui ' Mademu ' wabaya na wenye ' Sura ' mbaya kama huyo aliyepewa Mimba na Kiba. Kumbe ndiyo maana Diamond yupo juu kwani hata ' Mademu ' zake wote ' anaowangono ' ni Wazuri na hadi sasa sijawahi kuona ' Demu ' yoyote wa Diamond aliye na ' Sura ' mbaya kama huyo hapo juu pichani.
Mkuu huogopi kusukumwa?!Hamisa wa kawaida sana mimi msanii ninayemkubali Bongo kwa uzuri ni Lulu Michael Elizabeth dah mtoto mrito mtoto kihepe
Potelea mbali mtoto mzuri akikutazama sura kama inakuitaMkuu huogopi kusukumwa?!
Teh teh eti banduo.....Mapenzi ya ajabu sana, huyu jamaa ilisadikika kumbandua jokate kwa muda mrefu lakini hakupata ujauzito cha ajabu huyu banduo moja tu mimba, ....duuh
Ni timu K? Halafu futa kauli yako, wewe sio mbaya, Diamond either.Tatizo Diamond mwenyewe ana sura mbaya akichukua mwanamke kama mimi huyo mtoto sijui atatokaje maskini acha achukue haohao kina Sepenga
Akuu sina timu mimi. Unataka kusema hakuna mtu mbaya...ni kweli hakuna mtu mbaya maana wote tumeumbwa kwa sura ya Mungu ila wapo wenye sura nzuri kuliko wengineNi timu K? Halafu futa kauli yako, wewe sio mbaya, Diamond either.
Umejibu kwa hoja. Nmekukubali. Ila uzuri huo uusemao mwingine anaweza kuona mzuri ila akaona kinyume chake. Kwa kifupi wote wanafaa.Akuu sina timu mimi. Unataka kusema hakuna mtu mbaya...ni kweli hakuna mtu mbaya maana wote tumeumbwa kwa sura ya Mungu ila wapo wenye sura nzuri kuliko wengine
Ukiachana na uzuri huo wa kuonekana kwa mtu mmoja kuna ule wa jumla yaani mtu anakuwa mzuri tu bila kujali anatazamwa na naniUmejibu kwa hoja. Nmekukubali. Ila uzuri huo uusemao mwingine anaweza kuona mzuri ila akaona kinyume chake. Kwa kifupi wote wanafaa.
Uko sahihi usemacho. Kwa hilo sina budi kukubaliana na wewe. Uko vizuri sana!Ukiachana na uzuri huo wa kuonekana kwa mtu mmoja kuna ule wa jumla yaani mtu anakuwa mzuri tu bila kujali anatazamwa na nani
GoodUko sahihi usemacho. Kwa hilo sina budi kukubaliana na wewe. Uko vizuri sana!
Unajua sana, hadi unaogopeshaGood
Haha umeanzaUnajua sana, hadi unaogopesha
Hahaha! Nmeanza au naendeleza?Haha umeanza
Hahaha utajua mwenyeweHahaha! Nmeanza au naendeleza?
Hahaha! Kwa taarifa yako ni kwamba naendeleza.Hahaha utajua mwenyewe