Yule demu wa Ali Kiba wa Mwanza naye adai kapata mimba

Yule demu wa Ali Kiba wa Mwanza naye adai kapata mimba

hahahaha duuu kwakweli Alikiba kamvamia Asha ngedere
 
Na nyie ' Wasanii ' wa Kibongo muwe mnaangalia na ' Mademu ' wa kuwa na kuzaa nao. Nadhani katika ' Mademu ' wote ambao nimewahi kuambiwa / kusikia kwamba wametoka au wanatoka ' Kimahusiano / Kibaiolojia / Kingono ' na Ali Kiba huyu anayeonekana ' pichani ' ni mbaya kuliko wote. Mimi pamoja na Umasikini / Ukapuku / Ungarambe wangu huu lakini sichukui ' Mademu ' wabaya na wenye ' Sura ' mbaya kama huyo aliyepewa Mimba na Kiba. Kumbe ndiyo maana Diamond yupo juu kwani hata ' Mademu ' zake wote ' anaowangono ' ni Wazuri na hadi sasa sijawahi kuona ' Demu ' yoyote wa Diamond aliye na ' Sura ' mbaya kama huyo hapo juu pichani.
Tatizo Diamond mwenyewe ana sura mbaya akichukua mwanamke kama mimi huyo mtoto sijui atatokaje maskini acha achukue haohao kina Sepenga
 
Tatizo Diamond mwenyewe ana sura mbaya akichukua mwanamke kama mimi huyo mtoto sijui atatokaje maskini acha achukue haohao kina Sepenga
Ni timu K? Halafu futa kauli yako, wewe sio mbaya, Diamond either.
 
Ni timu K? Halafu futa kauli yako, wewe sio mbaya, Diamond either.
Akuu sina timu mimi. Unataka kusema hakuna mtu mbaya...ni kweli hakuna mtu mbaya maana wote tumeumbwa kwa sura ya Mungu ila wapo wenye sura nzuri kuliko wengine
 
Akuu sina timu mimi. Unataka kusema hakuna mtu mbaya...ni kweli hakuna mtu mbaya maana wote tumeumbwa kwa sura ya Mungu ila wapo wenye sura nzuri kuliko wengine
Umejibu kwa hoja. Nmekukubali. Ila uzuri huo uusemao mwingine anaweza kuona mzuri ila akaona kinyume chake. Kwa kifupi wote wanafaa.
 
Umejibu kwa hoja. Nmekukubali. Ila uzuri huo uusemao mwingine anaweza kuona mzuri ila akaona kinyume chake. Kwa kifupi wote wanafaa.
Ukiachana na uzuri huo wa kuonekana kwa mtu mmoja kuna ule wa jumla yaani mtu anakuwa mzuri tu bila kujali anatazamwa na nani
 
Ukiachana na uzuri huo wa kuonekana kwa mtu mmoja kuna ule wa jumla yaani mtu anakuwa mzuri tu bila kujali anatazamwa na nani
Uko sahihi usemacho. Kwa hilo sina budi kukubaliana na wewe. Uko vizuri sana!
 
Halaf hawa madem wabovu kwa kushika mimba haraka wamejaaliwa.

Mzee kiba anapiga picha chumbani na matabasamu kibao bila shaka huyu mtt alimnyea mfalme...nina kumbukumbu nzuri sn na watt wa mwanza

Mungu ni mwema
 
Back
Top Bottom