Yule demu wa Ali Kiba wa Mwanza naye adai kapata mimba

Yule demu wa Ali Kiba wa Mwanza naye adai kapata mimba

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kama kawaida ya Ali Kiba huwa hapendi kushindwa chochote na watu wa Madale.

This time around kamjibu Mond lakini kipindi hiki sio mziki tena!

Screenshot_20171020-071039.png


Screenshot_20171020-071056.png


Screenshot_20171020-071108.png


Screenshot_20171020-071140.png


Screenshot_20171020-071218.png
 
Si kweli..ametoa clip inazagaa huko insta akisema amefungua kesi..ila demu ana pua huyu kama mfupa wa kongoro..ingia kwa shishi boy yule anae tukana ukamuone!
Hahahaha aisee jf the place of happness!
 
mademu wa kibongo bwana so kiba ameachana na seven mosha manake nasikia ndio chanzo cha kuachana na jokate
 
Wanawapataga wapi watu wa kuanika kila jambo na picha za chumbani namna hii?!!!!
 
Back
Top Bottom