Yule jamaa wa "laifu izi chenjee mwanangu somaaa" ameishia wapi? Alishakaga kasi zaidi maeneo ya vijijini haswa vya ya Kanda ya ziwa

Ana nyimbo Kali sema sijui kwanini aliamua kuishi huko mikoani?
 
Huyu jamaa ana nyota fisi maji, anatoa ngoma lakani wanasikiliza wale wasio na uwezo wa kuibrand.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…