Yule jamaa wa "laifu izi chenjee mwanangu somaaa" ameishia wapi? Alishakaga kasi zaidi maeneo ya vijijini haswa vya ya Kanda ya ziwa

Yule jamaa wa "laifu izi chenjee mwanangu somaaa" ameishia wapi? Alishakaga kasi zaidi maeneo ya vijijini haswa vya ya Kanda ya ziwa

Im still listening that man. Yupo vzuri sana sema ndio hvyo, music anaoimba haimatch na demand ya soko
Ila ana maishairi yake mazuri tu, ni vle Hana tu nyota na kizazi Cha Sasa hakisikilizi aina ya mziki wake

Kuna nyimbo yake inaitwa Candle..nyimbo tamu sana Ile
Hakika
 
Leo ametoa wimbo unaitwa Mkuu wa Polisi..wiki mbili zilizopita alitoa wimbo unaitwa P Didy
 
ama kweli sikuamini nilivyomkuta mariam wa dar ,amebadilika kabisa hata umbo lake zuri la mvuto limeshapotea ,life is chenjeeeeeeee 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Imebidi nikaisikileze tena, nikisikia hiyo life iz chenjeee nacheka sana... jamaa alikuwa anaishi kwenye ulimwengu wake...
 
Back
Top Bottom