Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisaJona ana shida ya temper
Ana hasira mnoo aheri muwe na mtu positive kama Dube kuliko sowah.. mechi zote alizocheza nmeziona kasoro ya leo.. na wala hana maajabu hayo watu wanayodhani sema ni mtu anaonekana ana njaa ya mafanikio anapambana ! Yani yule Yanga labda aitake yeye ila kwa nidhamu yake hatocheza kariakoo yoyote labda Chamanzi
Watu wanaangaliaga matokeo tu 😅Sowah? Sowah huyu huyu aliyefeli libya akaangukia singida kuja kujitafuta? Sowah huyu huyu nafasi 8 anatumia 2? Sowah huyu huyu ambaye hawezi ku kontroo tempa yake? Sowah huyu huyu mtovu wa nidhamu?
Watu wanaangaliaga matokeo tu
Mali ya GSM ile😆Kiukweli leo nimempitisha rasmi kuwa mmoja wa washambuliaji hatari hapa nchini, kwanza Ana control na Ana ball brain, nimemfuatilia mechi ya leo na Mashujaa aisee mwamba huyu ni mtu hatari sana, mkatili mno kwenye nyavu
Hawa ndio washambuliaji wanaohitajika Simba
Mkuu baleke katugimea angekuwa YANGA huyoo mda huuKiukweli leo nimempitisha rasmi kuwa mmoja wa washambuliaji hatari hapa nchini, kwanza Ana control na Ana ball brain, nimemfuatilia mechi ya leo na Mashujaa aisee mwamba huyu ni mtu hatari sana, mkatili mno kwenye nyavu
Hawa ndio washambuliaji wanaohitajika Simba
Uongo uongo!Kiukweli leo nimempitisha rasmi kuwa mmoja wa washambuliaji hatari hapa nchini, kwanza Ana control na Ana ball brain, nimemfuatilia mechi ya leo na Mashujaa aisee mwamba huyu ni mtu hatari sana, mkatili mno kwenye nyavu
Hawa ndio washambuliaji wanaohitajika Simba
yanga wafanye haraka kumchukua, unajua hata kipindi kile yanga anacheza na timu yake ya ghana, yeye pekee ndio alitegemewa na timu yake kuimaliza yanga na aliwasumbua sana. sema yanga walivyorusha ndoano akaringa akitaka dau kubwa, sasa yamemkuta akakosa timu amekuja singida kucheza walau yanga wale wale aliowaringia wamuone, jamaa anaipenda yanga kuliko hata simba na azam. changamkieni tenda yanga msichelewe, azam au simba watamchukua anytime.Kiukweli leo nimempitisha rasmi kuwa mmoja wa washambuliaji hatari hapa nchini, kwanza Ana control na Ana ball brain, nimemfuatilia mechi ya leo na Mashujaa aisee mwamba huyu ni mtu hatari sana, mkatili mno kwenye nyavu
Hawa ndio washambuliaji wanaohitajika Simba
UnakatwaSwali ni hili hapa
Katika washambuliaji wote wa Simba nitajie anayeweza walau kumfikia Sowah.
Njoo na hoja mdogo wetu hii inaonesha wewe ni dhaifu sana na una upungufu wa akiliUnakatwa