Yule Jonathan Sowah ni zaidi ya Fiston Mayele

Mayele kaprove ligi ya DRC, Tanzania, Egypt, timu ya Taifa, Michuano ya CAF.

Show some respect.
 
Jona ana shida ya temper
Ana hasira mnoo aheri muwe na mtu positive kama Dube kuliko sowah.. mechi zote alizocheza nmeziona kasoro ya leo.. na wala hana maajabu hayo watu wanayodhani sema ni mtu anaonekana ana njaa ya mafanikio anapambana ! Yani yule Yanga labda aitake yeye ila kwa nidhamu yake hatocheza kariakoo yoyote labda Chamanzi
 
Sowah? Sowah huyu huyu aliyefeli libya akaangukia singida kuja kujitafuta? Sowah huyu huyu nafasi 8 anatumia 2? Sowah huyu huyu ambaye hawezi ku kontroo tempa yake? Sowah huyu huyu mtovu wa nidhamu?
 
Ndug mpira unasikiliza redioni nini au unasoma tu mtandaoni mandishi,,hata kama mimi simba ila sowah na mayele ni kumdharau mayele. Kwa kifupi sowah hamzidi chochote mayele hata physical fitness tu hamzidi
 
Sahihi kabisa
 
Sowah? Sowah huyu huyu aliyefeli libya akaangukia singida kuja kujitafuta? Sowah huyu huyu nafasi 8 anatumia 2? Sowah huyu huyu ambaye hawezi ku kontroo tempa yake? Sowah huyu huyu mtovu wa nidhamu?
Watu wanaangaliaga matokeo tu 😅
Halafu wengi mpaka icheze Simba na Yanga kuna ile mechi kabla ya kucheza na Yanga
Siku hio walianza na Imoro ibrahim,Sowah alikosa clear chance kabisa tena sio moja na ndo mana kuna watu wanakwambia hawaabudu Numbers mana sometimes ndo kama ivyo anapewa penalt anafunga na saizi wajue anaanza Sowah, Elvis Rupia anatokea Bench
Tunaoangalia mechi tofauti na simba na Yanga wanatuitaga wazee😅😅 sio kosa lao
 
MAli
Mali ya GSM ile😆
 
Mkuu baleke katugimea angekuwa YANGA huyoo mda huu
 
Uongo uongo!
Tangu aondoke Mayele hakuna striker wa kiwango chake ameshatokea nchini

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
yanga wafanye haraka kumchukua, unajua hata kipindi kile yanga anacheza na timu yake ya ghana, yeye pekee ndio alitegemewa na timu yake kuimaliza yanga na aliwasumbua sana. sema yanga walivyorusha ndoano akaringa akitaka dau kubwa, sasa yamemkuta akakosa timu amekuja singida kucheza walau yanga wale wale aliowaringia wamuone, jamaa anaipenda yanga kuliko hata simba na azam. changamkieni tenda yanga msichelewe, azam au simba watamchukua anytime.
 
Jonathana Sowah, kama ilivyokuwa kwa Ranga Chivaviro ni wasahambuliaji lakini siyo wa kiwango cha Mayele. Halafu Jonathan Sowah ni short tempered sana, jambo ambalo humsabibishia kadi nyekundu za haraka haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…