Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Mimi sishangai kamwe, katuga huyu huyu baada ya hii kesi ambayo inatarajiwa kufutwa baada ya Lisu kuwavua chupi hawa mawakili pompooo wa serikali kupewa ujaji.
Kama aliyekuwa hakimu kesi ya mbowe baada ya kesi kufutwa alipewa ujaji wewe unashangaa katuga kuwa nani?
Hivi wajua kingai alipanda cheo baada ya kesi ya mbowe kufutwa?
Hivi wajua yule home boy wa Mbowe nae alipanda cheo na sasa yupo moja ya balozi zetu km jasusi mbombevu hahahaha 🤣 😂
Hivi wajua hata mbowe alibadilika alipo toka jera.
Mambo ni mengiiiii ila note mfumo ni nyokoooriko.