Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
yaaniYule Tumempa Kazi ya Ukalimani pale Utopoloni FC.
Si umeona lakini tangu aingie Timu imekuwa ikipiga mapasi 791 ndani ya DK 45..?
Yes! Hiyo ni impact ya kutafsiri vyema kila Prof NABI anachotaka Vijana wafanye Uwanjani.
Yesssss. Karibu UTOPOLONI FC...
Akibeba bab.a ako inatoshaKitu pekee Simba watabeba msimu huu ni MIMBA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji860]Povu Ruksa
Feisal Fei Toto ni muungwana,wewe umeiba jina[emoji38][emoji38][emoji38]Akibeba bab.a ako inatosha
Feisal Fei Toto ni muungwana,wewe umeiba jina[emoji38][emoji38][emoji38]