Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Sikupingagi taikon
Shukrani Mkuu.
Ila ukiona nimepuyanga unanipinga tuu Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikupingagi taikon
kama nakuona.Kama ningefikiri Kwa angle hii huenda nisingejibu mashambulizi Kwa mtindo nilioutumia.
Ningetumia mbinu za kimedani
kama nakuona.
utarudi tena kujibebisha?
ongea nae vizuri huenda anajua siri mingi za ndoa
hahaaaaa
isijekuwa anataka umpe mkulungeeeee / mkwajuu
Focus.Hamna Mkuu.
Mimi na mijimama mbali mno.
Focus.
Na kama unaweza oa tu mkuu.
Marriage is a beautiful thing.
Miongoni mwa marafiki zangu wanne wamefariki chini ya umri wa miaka 25 mmoja kafariki mwaka jana na watatu mwaka huu, maisha yanachanganya sana Kuna muda unaona ni Bora kuoa utafute hata mtoto mapema Kuna muda unawaza je ikatokea sipo mtt si atateseka sana unaona ni Bora uendelee kwanza kujijenga kiuchumi ili ukioa hata usipo kuwepo familia iwe katka hali nzuri kdogo, lakn mbaya zaid hatuna uhakika kma tutatoboa...
Tomorrow is not promised linalowezekana Leo lisingoje kesho kama una uwezo wa kuoa we oa tu ila kma huna uwezo acha
Katika kitu ambacho hakina formula ni ndoa unaweza ukawahi ukapatia na unaweza ukachelewa ukakosea
Huku kwetu kabisa NkomePorojo tuu kule kwetu tunaoa tukiwa na miaka 16 ukisha hitimu STD7 Unapewa miaka miwili ya ofa, na kuozeshwa badae
Ungemshikisha adabu kwa saplaiziKama ningefikiri Kwa angle hii huenda nisingejibu mashambulizi Kwa mtindo nilioutumia.
Ningetumia mbinu za kimedani
Kuoa/Kuolewa ni kamali kama kama nyingine.
Kuna kula ama kuliwa.
Mtoto wa kwanza nimepata nikiwa na umri wa miaka 19