serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,340
- 4,734
Anaitwa Zainabu, kama sijakoseakuna mama alikua anauza udongo wa kujipaka km kipodozi kingine ndo wanamuulizia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa Zainabu, kama sijakoseakuna mama alikua anauza udongo wa kujipaka km kipodozi kingine ndo wanamuulizia
Hiyo link ya fursa i wapi?Tena si kumpaisha tu, kwa sasa nimewekeza kwenye mradi wake mpya, msome hapa: Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo
Si mshawageuza watanzania Bibi zenu,njooni na hizo project za kipigaji Tu.ila Mungu anawaonaTena si kumpaisha tu, kwa sasa nimewekeza kwenye mradi wake mpya, msome hapa: Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo
Yani WW kutokuwa na mtaji,wenzako kwako ndio fursa!! ShtukaHiyo link ya fursa i wapi?
Uyu bibi nae n wale wale tuRafikiye faiza foxy
Mmehamia kwingineTena si kumpaisha tu, kwa sasa nimewekeza kwenye mradi wake mpya, msome hapa: Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo
Sijui hata kapotelea wapi yule bibie na matangazo yakeNamba za mawakala hazipatikani, meseji hazijibiwi, au ndio alikusanya mikwanja akasepa na kijiji.
Tupeane ushuhuda wakuu, kama kuna yeyote aliyetumia udongo na ukamsaidia alete ushuhuda hapa, au kama mama mwenyewe yupo basi jitokeze.
Tatizo la jf,mtu mmoja anaweza tumia acnt zaid ya moja.N Mungu pekee ndio anajuaUle udongo wa aunt Zainab au Zainab Tamim ni udongo mzuri niliwahi kuutumia ingawa ngozi yangu haikuwa na tatizo ila unafanya ngozi inakuwa nyororo saana...tena ni muda toka umeisha ngoja niutafute....
Alikusanya mikwanja akasepa km LowizeeeeeSijui hata kapotelea wapi yule bibie na matangazo yake
Sijui hata kapotelea wapi yule bibie na matangazo yake
Karibu sanaaNipo, nimebanwa na kazi nyingi za site inakuwa ngumu kuingia mtandaoni mara kwa mara.
Bora umejileta mwenyewe..Nipo, nimebanwa na kazi nyingi za site inakuwa ngumu kuingia mtandaoni mara kwa mara.
Alikusanya mikwanja akasepa km Lowizeeeee