Yule mama wa udongo alipotelea wapi wakuu?

Yule mama wa udongo alipotelea wapi wakuu?

Bora umejileta mwenyewe..
Udongo Wako haujasaidia watu,mawakala hawapo tena,mesej hawajibu,cm awapokei.

Nini shida..

Kama haujakusaidia unaweza kuja kuchukuwa pesa zako. Usiwe na shaka ni money back guaranteed.

Kuhusu mawakala, wengi wao niliwapatia hapahapa JF kama hawapatikani si tatizo, kuna wengine kama unahitaji nijulishe uko wapi nikupe namba zao.
 
Dah!

Hapana si kweli. Kama kuna yoyote hajaridhika na product yetu mbona ni "money back guaranteed".

Sasa hivi udongo wetu unajiuza wenyewe na tupo kwenye miradi mingine na kila nipatapo fursa huwa ninaingia humu kujibu hoja.
Nilkutafutia wateja km10 WA udongo,wa4 WA kike na 6 WA kiume.Wanadai haujawasaidia.Nachoka kukujibia maswali Yao.Mawakala hawapokei cm,mesej hawajb.Nini tatzo..
 
Namba za mawakala hazipatikani, meseji hazijibiwi, au ndio alikusanya mikwanja akasepa na kijiji.

Tupeane ushuhuda wakuu, kama kuna yeyote aliyetumia udongo na ukamsaidia alete ushuhuda hapa, au kama mama mwenyewe yupo basi jitokeze.

Samahani kuhusu hilo, mawakala imekuwa ni ngumu sana kuwa control kwa hizi fani ndogo.

Unaweza kupiga 0625249605 namba ya mume wangu kama yangu hauipati. Mimi nipo site kwenye miradi mingine, inakuwa vigumu kupatikana mara kwa mara.
 
Nilkutafutia wateja km10 WA udongo,wa4 WA kike na 6 WA kiume.Wanadai haujawasaidia.Nachoka kukujibia maswali Yao.Mawakala hawapokei cm,mesej hawajb.Nini tatzo..

Uliinunua wapi hiyo bidhaa yetu uliowapa hao wateja? Kama sisi hutupati? Piga 0625249605
 
Samahani kuhusu hilo, mawakala imekuwa ni ngumu sana kuwa control kwa hizi fani ndogo.

Unaweza kupiga 0625249605 namba ya mume wangu kama yangu hauipati. Mimi nipo site kwenye miradi mingine, inakuwa vigumu kupatikana mara kwa mara.
Owk saw.. Asante kwa ufafanuzi..
 
Mimi mwenyewe nimeliona nilikua nahitaji kwa ajili ya mama watoto, lakini nimehangaika km napewa bure, nikaamua kuachana nao
 
Uliitumia kuhusu nini ili tuone kama tunaweza kusaidia zaidi, maana ile tiba yetu ni ya mambo mengi.
chunusi zaidi ya vikopo viwili lakini wapiii holaaaa
pia mkasema eti inaotesha nywele kwa wenye vipara duuuuh
 
Back
Top Bottom