CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
-
- #21
Maswali kama haya peleka MMU dogo huku hatujadili mapenzi. Muda wote mnawaza mapenzi tu. Na hizi ndo dalili moja wapo za umasikiniHuyo mwenye pesa zake ni Me au Ke....tupe picha ya mdada tutadhmini utamu wa uji atakaouza....
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua tatizo linalo wakabili? Most of Wanaume na wanawake wapika vitumbua na Mihogo na Uji na wakaanga karanga wanakosa Vision si kwamba hawapati pesa. Unaweza kuwa na pesa nyingi sana ila ukawa huna Vision
Usiwa rate kwa kuangalia Uvaaji wao. Hahaaa ile ni njia yao tu ya ku ji under rate ili wandane na jamii
Kuna jamaa ni M brash viatu ana kona nzuri anayo brashia viatu. Ukifika kwake utazimia mimi sikuamini alivyo nipelela kwake na tangia hapo hawa watu huwa si wa under rate kabisa.
Usiangalie wanavyo vaa au walivyo wengi wao wana miliki hadi Daladala kwa kuchoma mihogo ika hata siku moja hutasikia wanazunguzmia Daladala zao na wengi wana mageto na wanasomesha watoto vyuo vikuu kwa kukaanga mihogo.
Mihogo tu mtoto yuko chuo kikuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako lile ndo swali la maana sana? ujue wazungu huwa mapaka leo na kesho huwa wanaamini wa africa kuna nati zimelegea kwenye ubongo.
Siwezi kufa nayo. Nitaiacha kwenye DIARY mwanangu ataitekelezaHahaaa basi kufa nayo. Una mkataba na Mungu? Uoga hujawahi kuwa suluhisho. Wewe waza hivyo wenzako wanapiga pesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha katika ubora wetuMi nlidhani kupitia uji ameweka akiba mpaka ameweza kufungua hotel. Sasa ni wangapi ambao wataweza Kupata ufadhili kama alioupata yeye. Kwa mtazamo wangu Hayo mafanikio atakayoyapata hayajatokana na biashara yake ya uji. Ndio
Mkuu nahisi umeajiriwa hujajiajiri ndio maana unaongea hivyo.Kwako lile ndo swali la maana sana? ujue wazungu huwa mapaka leo na kesho huwa wanaamini wa africa kuna nati zimelegea kwenye ubongo.
Una uliza kama kauza uji ndo kapata pesa za hoteli ili mpate point ya kisingizio?
Make hatukosi visingizio mara pesa ya urithi amara mwizi yule mara Freemason mara sijui anauza Unga yaani ilimuradi tu mtu apate ngao ya kuhalalisha kukaa nyumbani.
Kila mtu ana malengo yake na kila mtu ananjia yake ya kufika juu. wewe una shangaa mwenzako anapiga pesa, wakati mnajifariji kwamba hajauza uji akafika hapo alipo yeye atakuwa mbali wakati huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haitoshi kwa Hotel upande upi? Kujenga Hotel, au kupanga Apartment ambayo ukaigeuza kuwa Hotel!?Nimeuliza swali hiyo uji ndio imemfanya afungue hotel? Huku kitaa kuna wamama wana migahawa ni miaka lakin hawajapata hata mtaji wa kufungua hotel, hivi hotel unaijua au unasikia tu hata hiyo 50M haitoshi kwa hotel
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga hoja yako mkuu, ukifikiria tangua aanze kuuza uji haipita miaka 2 eti Leo unatuambia kua anampango wa kufungua hotel.mkuu elezea vzuri labda sijakuelewaMi nlidhani kupitia uji ameweka akiba mpaka ameweza kufungua hotel. Sasa ni wangapi ambao wataweza Kupata ufadhili kama alioupata yeye. Kwa mtazamo wangu Hayo mafanikio atakayoyapata hayajatokana na biashara yake ya uji. Ndio
Hata kwa kupanga haitoshi na kuhusu kujenga ndio kabisaa haiweziHaitoshi kwa Hotel upande upi? Kujenga Hotel, au kupanga Apartment ambayo ukaigeuza kuwa Hotel!?
Milioni 50 haitoshi sio? Ni kweli kabisa mkuu kwa sababu hapa ndo Mwisho wa kuwaza kwako. Ogopa dana pale kuwaza kunapo fikia tamati yaani unabakia mwili tu unao kula.Nimeuliza swali hiyo uji ndio imemfanya afungue hotel? Huku kitaa kuna wamama wana migahawa ni miaka lakin hawajapata hata mtaji wa kufungua hotel, hivi hotel unaijua au unasikia tu hata hiyo 50M haitoshi kwa hotel
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha angalia Avator yangu na jina langu na ni verfied, wewe njoo kwa majija yako kamili. Mimi humu kuna watu wengi wananijua kwa kuonana na si kwa jina.Mkuu nahisi umeajiriwa hujajiajiri ndio maana unaongea hivyo.
Inabidi ufikirie kwa kina sana sio jujuu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya malengo? Unajua moja ya sifa za Mjasiriamali?
Kwako wewe Hotel ni yenye hadhi ya Nyota 3,4&5 tu?