CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
-
- #41
Mkuu ogopa pale mtu kuwaza kunapo fikia mwisho. kwa sasa yaani watu wana muwaziaKwako wewe Hotel ni yenye hadhi ya Nyota 3,4&5 tu?
Haya Mkuu wewe endelea kupambana na hari yako, mwache muuza uji atimize ndoto zake.
Ni kweli Mkuu, tatizo la watu hupenda kujiwekea vikwazo kwenye njia za mafanikio yao, na pale mmoja anapoondoa vikwazo, huonekana haiwezekani......Mkuu ogopa pale mtu kuwaza kunapo fikia mwisho. kwa sasa yaani watu wana muwazia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema atapewa msaada.vinginevyo angeendelea kuuza uji.mpaka yesu arudi ndo afikishe mil 50
Kwa akili za juu juu hutaweza kujua kuwa Drug Lords wanatumia retailers kuuza mzigo. Sasa na wewe tafuta kijiwe ubrash viatu...mjini kila mtu ana siri zake. Utabrush viatu mpaka upate fungus, don't be fooled easily.Usiwa rate kwa kuangalia Uvaaji wao. Hahaaa ile ni njia yao tu ya ku ji under rate ili wandane na jamii
Kuna jamaa ni M brash viatu ana kona nzuri anayo brashia viatu. Ukifika kwake utazimia mimi sikuamini alivyo nipelela kwake na tangia hapo hawa watu huwa si wa under rate kabisa.
Unataka nikujue kwani unafaida gani kwangu. Ongelea kilicho postiwa kwa hoja sio kuongelea sijui avatar Mara wengi wananijua ukitaka tukujue nenda Ofisi ya Raisi umpige Kofi hapo tutakujuaHahaha angalia Avator yangu na jina langu na ni verfied, wewe njoo kwa majija yako kamili. Mimi humu kuna watu wengi wananijua kwa kuonana na si kwa jina.
Wewe hakuna anaye kujua kama kwanza ni Ke au me na kama ni nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Naongea na mpumbavu, coment zako tangu mwanzo zinainyesha unakiwango cha chini kabisa cha kuwazaUnataka nikujue kwani unafaida gani kwangu. Ongelea kilicho postiwa kwa hoja sio kuongelea sijui avatar Mara wengi wananijua ukitaka tukujue nenda Ofisi ya Raisi umpige Kofi hapo tutakujua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mwisho wako wa kuwaza? au inahitajika mechansim nyingine ili uwaze zaidi ya hapaKwa akili za juu juu hutaweza kujua kuwa Drug Lords wanatumia retailers kuuza mzigo. Sasa na wewe tafuta kijiwe ubrash viatu...mjini kila mtu ana siri zake. Utabrush viatu mpaka upate fungus, don't be fooled easily.
Wajinga kama nyie nazani nikupoteza muda kuwajibu.Sema atapewa msaada.vinginevyo angeendelea kuuza uji.mpaka yesu arudi ndo afikishe mil 50
Sent using Jamii Forums mobile app
Namaingo walipiga pesa kwa watu ambao kuwaza jwao kusha fikia tamati na wanahitaji msaada ili waendelee kuwaza.Kupewa fedha na mwanaume ni jambo moja, kupata watu wa kunywa uji kiasi cha kuwekeza 50m ni jambo la pili. Wajaluo tupo wachache sana hapa mjini labda huo uji akauzie Tarime.
Mimi nikiwakumbuka Namaingo, huwa sina hamu na mahubiri ya wafuga kuku. Story zenu huwa zinalenga kutafuta soko la mazao yenu na ada za semina za kuwajaza watu matumaini hewa.
Mpe dadaako hongera kwa kuwa na shepu worth 50m
Nyie ndo wale mmekaririshwa kwamba ili ufanikiwe shariti kuu uajiriwe basi bila kujalisha unalipwa sh ngapi.Kwa akili za juu juu hutaweza kujua kuwa Drug Lords wanatumia retailers kuuza mzigo. Sasa na wewe tafuta kijiwe ubrash viatu...mjini kila mtu ana siri zake. Utabrush viatu mpaka upate fungus, don't be fooled easily.
Wacha kubisha na watu wenye kiwango cha mwisho cha uelewa.Nyie ndo wale mmekaririshwa kwamba ili ufanikiwe shariti kuu uajiriwe basi bila kujalisha unalipwa sh ngapi.
Wewe wachoma mihogo au wa Brashi viatu unawadharau? unawadgarau kwa sababu ya kuvaa vibaya? vipi wangekuwa wanapiga suti na wanabrashi ungewakubali?
Make nyie mna rate watu webye mafanikio kwa kuangalia anavyo vaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]Kwa akili za juu juu hutaweza kujua kuwa Drug Lords wanatumia retailers kuuza mzigo. Sasa na wewe tafuta kijiwe ubrash viatu...mjini kila mtu ana siri zake. Utabrush viatu mpaka upate fungus, don't be fooled easily.
Mwanzo wangu wa kuwaza unaanzia unapoishia wa kwako. Usiende kwenye watimamu wa akili kusifia mpiga kiwi kajenga ghorofa, utaoneakana umekula starter ya Broilers ukaumuka mwili ubongo ukabaki.Ndo mwisho wako wa kuwaza? au inahitajika mechansim nyingine ili uwaze zaidi ya hapa
mkuu nimefuatilia coment zako kwa kifupi wewe ni mweupe sana kichwani na una upeo mdogo sana kubali kwanza kwa hilo. Post kama hizi zinakuzidi uwezo wako na post levo yako ni post za wakina Sepetu na wakina DiamondUnataka nikujue kwani unafaida gani kwangu. Ongelea kilicho postiwa kwa hoja sio kuongelea sijui avatar Mara wengi wananijua ukitaka tukujue nenda Ofisi ya Raisi umpige Kofi hapo tutakujua
Sent using Jamii Forums mobile app
Chasha sio levo yako kabishane na watoa mada za mapenzi na za udaku.Mwanzo wangu wa kuwaza unaanzia unapoishia wa kwako. Usiende kwenye watimamu wa akili kusifia mpiga kiwi kajenga ghorofa, utaoneakana umekula starter ya Broilers ukaumuka mwili ubongo ukabaki.
Kuokota chupa za plastiki mtaani inaweza kuwa ID in disguise of any evil business.
Kuokota chupa kunategemea na malengo ya anae okota. kule moshi kuna jamaa anaokota makaratasi na anakiwanda anatengeneza mifuko.Mwanzo wangu wa kuwaza unaanzia unapoishia wa kwako. Usiende kwenye watimamu wa akili kusifia mpiga kiwi kajenga ghorofa, utaoneakana umekula starter ya Broilers ukaumuka mwili ubongo ukabaki.
Kuokota chupa za plastiki mtaani inaweza kuwa ID in disguise of any evil business.