Hakuna sehemu yeyote nimetaja kuajiriwa wala suti hapa...shida yako umepanic. Mimi sijamdharau mtu yeyote, nakukumbusha tu relative income. Usijitie ujinga kana kwamba hunielewi eti kwa kuwa tu nimepingana na mawazo yako.Nyie ndo wale mmekaririshwa kwamba ili ufanikiwe shariti kuu uajiriwe basi bila kujalisha unalipwa sh ngapi.
Wewe wachoma mihogo au wa Brashi viatu unawadharau? unawadgarau kwa sababu ya kuvaa vibaya? vipi wangekuwa wanapiga suti na wanabrashi ungewakubali?
Make nyie mna rate watu webye mafanikio kwa kuangalia anavyo vaa
Hata kama huoni na harufu husikii unataka kusema uji umezaa 50M?,usikosoe wenzio ongea na wewe tuone uwezo wako wa kufikirimkuu nimefuatilia coment zako kwa kifupi wewe ni mweupe sana kichwani na una upeo mdogo sana kubali kwanza kwa hilo. Post kama hizi zinakuzidi uwezo wako na post levo yako ni post za wakina Sepetu na wakina Diamond
Sent using Jamii Forums mobile app
Joint venture mkuuHiyo milioni 50 kapewa kama mkopo au msaada au ruzuku?
ahsante kwa insipiration.....tuletee story nyingineKuna siku nilileta bandiko hapa la Mdada gradute kuuza uji watu kwa kifupi povu liliwatoka na wengi unakuta wako mtaani na wengine wanaishi kwa shemeji na wengine wamejiriwa wanakula Kilo 3 na nusu kwa mwezi.
Yule Dada mjasiria Uji, alifanikiwa kuandika proposal yake ambayo pia nilidaidiana naye na akampelekea Mtu fulani mwenye pesa zake zake. Baada ya kusoma Jamaa alivutiwa sana na idea na kukubali kuingiza pesa Milioni 50.
Kwa sasa Yule mdada anafungua kabisa hoteli na bado uji atauza ila kwa njia mpya na inayo vutia zaidi.Muda wowote akipata location nzuri kazi itaanza.
Na i hope atafika mbali sana na siku 1 atakuja kuajiri wale alio piga nao kitabu ambao still hadi leo wako mtaani wengine wanaishi kwa mashemeji na wengine kwao.
UJUMBE
Mara zote MUNGU husimama na watu jasiri palipo na uoga na aibu hapo Mungu hayupo bali palipo na ujasiri basi Mungu yupo.
Tuache kukalili maisha kwamba Gradute kuuza mihogo au mchicha unajidharirisha. Huji malengo yake, hujui target yake, hujui Ameplani vipi, Bujui end point yake ni ipo so ni vizuri kukaa kimya na kuangalia maisha yako wewe.
NB: Kuna watu wana pesa ila hawana mawazo na pesa ziko tu benki, Siku moja nitaelezea story moja inayo fanana kwa kiasi fulani na hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! punguza kasi ya kutoa povu naona umelivalia njuga kabisa kama vile utalipwaNaongea na mpumbavu, coment zako tangu mwanzo zinainyesha unakiwango cha chini kabisa cha kuwaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisha mpotezea uwezo mdogo ila anajifanya anajua kumbe hajui. Hizi ID huwa zinasaidia sana.mkuu nimefuatilia coment zako kwa kifupi wewe ni mweupe sana kichwani na una upeo mdogo sana kubali kwanza kwa hilo. Post kama hizi zinakuzidi uwezo wako na post levo yako ni post za wakina Sepetu na wakina Diamond
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni kwamba inspired zingine zinakuwa zina udhi watu yaani mtu anachukia na anaumia sana rohoni. Binadamu huwajui?chuki za nini,just be inspired,ndio lengo la mtoa mada,
Safi sana pamoja mkuuahsante kwa insipiration.....tuletee story nyingine
Jadili madamkuu nimefuatilia coment zako kwa kifupi wewe ni mweupe sana kichwani na una upeo mdogo sana kubali kwanza kwa hilo. Post kama hizi zinakuzidi uwezo wako na post levo yako ni post za wakina Sepetu na wakina Diamond
Kiwanda chake kinaitwaje na mifuko anayotengeneza inaitwaje?Kuokota chupa kunategemea na malengo ya anae okota. kule moshi kuna jamaa anaokota makaratasi na anakiwanda anatengeneza mifuko.
Mzee naona umefula kama mbogo alie koswa koswa risasi pambana na hali yako kukadiria wenzio uwezo wao wa kufikiri ni sawa nawanahistoria walio sema binadamu wa zamani walitokana na nyani ikiwa ni uwongo mkubwaNisha mpotezea uwezo mdogo ila anajifanya anajua kumbe hajui. Hizi ID huwa zinasaidia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani sio NAZANI.Wajinga kama nyie nazani nikupoteza muda kuwajibu.
Mkuu kwani we umefikiria nini?Mwanzoni nimesema watu tuache kukacremisha mambo. Na sijui kama unajua wanae fanya nae hii biashara kama ni me au ke, na nilijua kabisa kabisa kuna watu watakuja na coment kama yako. yaani nilijua na nilitarajia coment kama hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wako wa kuwaza. Kuja jamaa angu ana kesi kama ya huyo mdada ila yeye ni alinilzisha shule na alikuwa hana pesa na kwa sasa ana wanafunzi 400 na.Kumbuka yule ni mdada
Delta Force
Mkuu mbona iko wazi? wacha tuendelee kunyiga tai na kwenda kusubikua laki 4 kwa mwezi then tunajiona wajanja.Mtoa mada, ujumbe umeeleweka kwa wajasiriamali. Inawezekana kwa mtu mwenye maamuzi kufanya makubwa. Mimi ninavyojua ujasiriamali=ubunifu. So kilichosababisha huyo graduate akapata hiyo 50m ni wazo lililopo ktk hiyo business plan yake, pamoja na juhudi alizonazo ktk biashara yake ya sasa, ndicho kimefanya huyo ampe hiyo fedha( Na sio fedha ya kupewa bure, hiyo ni fedha ambayo faida itakayopatikana watagawana)
Hapa ninapoishi kuna mama mjane anachoma mahindi, alinipa story ya maisha yake, baada ya kufiwa na mumewe, hayo mahindi yamesomesha watoto wake wawili wkt ananipa story mtoto wake wa kwanza alikuwa mwaka wa tatu chuo kikuu. Na pia anakaa kwenye nyumba aliyojenga mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera zake aisee...Kuna siku nilileta bandiko hapa la Mdada gradute kuuza uji watu kwa kifupi povu liliwatoka na wengi unakuta wako mtaani na wengine wanaishi kwa shemeji na wengine wamejiriwa wanakula Kilo 3 na nusu kwa mwezi.