Yule mdada aliyekuwa anauza Uji kwa sasa Mambo yamebadilika soon atawaajiri

Nyie ndo wale mmekaririshwa kwamba ili ufanikiwe shariti kuu uajiriwe basi bila kujalisha unalipwa sh ngapi.

Wewe wachoma mihogo au wa Brashi viatu unawadharau? unawadgarau kwa sababu ya kuvaa vibaya? vipi wangekuwa wanapiga suti na wanabrashi ungewakubali?

Make nyie mna rate watu webye mafanikio kwa kuangalia anavyo vaa
Hakuna sehemu yeyote nimetaja kuajiriwa wala suti hapa...shida yako umepanic. Mimi sijamdharau mtu yeyote, nakukumbusha tu relative income. Usijitie ujinga kana kwamba hunielewi eti kwa kuwa tu nimepingana na mawazo yako.

Kuna kiasi cha ukwasi ambacho kinaelezeka kwa shughuli fulani, kinyume na hapo kuna maswali.
 
mkuu nimefuatilia coment zako kwa kifupi wewe ni mweupe sana kichwani na una upeo mdogo sana kubali kwanza kwa hilo. Post kama hizi zinakuzidi uwezo wako na post levo yako ni post za wakina Sepetu na wakina Diamond

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama huoni na harufu husikii unataka kusema uji umezaa 50M?,usikosoe wenzio ongea na wewe tuone uwezo wako wa kufikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nilileta bandiko hapa la Mdada gradute kuuza uji watu kwa kifupi povu liliwatoka na wengi unakuta wako mtaani na wengine wanaishi kwa shemeji na wengine wamejiriwa wanakula Kilo 3 na nusu kwa mwezi.

Yule Dada mjasiria Uji, alifanikiwa kuandika proposal yake ambayo pia nilidaidiana naye na akampelekea Mtu fulani mwenye pesa zake zake. Baada ya kusoma Jamaa alivutiwa sana na idea na kukubali kuingiza pesa Milioni 50.

Kwa sasa Yule mdada anafungua kabisa hoteli na bado uji atauza ila kwa njia mpya na inayo vutia zaidi.Muda wowote akipata location nzuri kazi itaanza.

Na i hope atafika mbali sana na siku 1 atakuja kuajiri wale alio piga nao kitabu ambao still hadi leo wako mtaani wengine wanaishi kwa mashemeji na wengine kwao.

UJUMBE

Mara zote MUNGU husimama na watu jasiri palipo na uoga na aibu hapo Mungu hayupo bali palipo na ujasiri basi Mungu yupo.

Tuache kukalili maisha kwamba Gradute kuuza mihogo au mchicha unajidharirisha. Huji malengo yake, hujui target yake, hujui Ameplani vipi, Bujui end point yake ni ipo so ni vizuri kukaa kimya na kuangalia maisha yako wewe.

NB: Kuna watu wana pesa ila hawana mawazo na pesa ziko tu benki, Siku moja nitaelezea story moja inayo fanana kwa kiasi fulani na hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante kwa insipiration.....tuletee story nyingine
 
mkuu nimefuatilia coment zako kwa kifupi wewe ni mweupe sana kichwani na una upeo mdogo sana kubali kwanza kwa hilo. Post kama hizi zinakuzidi uwezo wako na post levo yako ni post za wakina Sepetu na wakina Diamond

Sent using Jamii Forums mobile app
Nisha mpotezea uwezo mdogo ila anajifanya anajua kumbe hajui. Hizi ID huwa zinasaidia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga kama nyie nazani nikupoteza muda kuwajibu.
Nadhani sio NAZANI.

Kudhani maana yake, huna hakika. Inaonekana DHAHANIA ina nafasi kubwa sana kwako, ndio maana unachukia kusikia watu wengine hawaamini haraka haraka. Mi nafikiri urudi tena huko mbeleni uji ukishaanza kuuzwa kwa scale ya 50m.
 
Mwanzoni nimesema watu tuache kukacremisha mambo. Na sijui kama unajua wanae fanya nae hii biashara kama ni me au ke, na nilijua kabisa kabisa kuna watu watakuja na coment kama yako. yaani nilijua na nilitarajia coment kama hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani we umefikiria nini?
Msichana mzuri na msafi watu watapenda kwenda pale, sio kwa kufanya hayo unayofikiria mkuu.
 
Mtoa mada, ujumbe umeeleweka kwa wajasiriamali. Inawezekana kwa mtu mwenye maamuzi kufanya makubwa. Mimi ninavyojua ujasiriamali=ubunifu. So kilichosababisha huyo graduate akapata hiyo 50m ni wazo lililopo ktk hiyo business plan yake, pamoja na juhudi alizonazo ktk biashara yake ya sasa, ndicho kimefanya huyo ampe hiyo fedha( Na sio fedha ya kupewa bure, hiyo ni fedha ambayo faida itakayopatikana watagawana)

Hapa ninapoishi kuna mama mjane anachoma mahindi, alinipa story ya maisha yake, baada ya kufiwa na mumewe, hayo mahindi yamesomesha watoto wake wawili wkt ananipa story mtoto wake wa kwanza alikuwa mwaka wa tatu chuo kikuu. Na pia anakaa kwenye nyumba aliyojenga mwenyewe.

Mkuu mbona iko wazi? wacha tuendelee kunyiga tai na kwenda kusubikua laki 4 kwa mwezi then tunajiona wajanja.

Wale watu wanaingiza pesa. sasa muonekano wao sisi tunaona hawana kitu ila pesa anayo ingiza kwa mwezi ni kubwa sana.

Mimi najua kabisa nimeongea na wengi wanapata pesa nyingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nilileta bandiko hapa la Mdada gradute kuuza uji watu kwa kifupi povu liliwatoka na wengi unakuta wako mtaani na wengine wanaishi kwa shemeji na wengine wamejiriwa wanakula Kilo 3 na nusu kwa mwezi.

Yule Dada mjasiria Uji, alifanikiwa kuandika proposal yake ambayo pia nilidaidiana naye na akampelekea Mtu fulani mwenye pesa zake zake. Baada ya kusoma Jamaa alivutiwa sana na idea na kukubali kuingiza pesa Milioni 50.

Kwa sasa Yule mdada anafungua kabisa hoteli na bado uji atauza ila kwa njia mpya na inayo vutia zaidi.Muda wowote akipata location nzuri kazi itaanza.

Na i hope atafika mbali sana na siku 1 atakuja kuajiri wale alio piga nao kitabu ambao still hadi leo wako mtaani wengine wanaishi kwa mashemeji na wengine kwao.

UJUMBE

Mara zote MUNGU husimama na watu jasiri palipo na uoga na aibu hapo Mungu hayupo bali palipo na ujasiri basi Mungu yupo.

Tuache kukalili maisha kwamba Gradute kuuza mihogo au mchicha unajidharirisha. Huji malengo yake, hujui target yake, hujui Ameplani vipi, Bujui end point yake ni ipo so ni vizuri kukaa kimya na kuangalia maisha yako wewe.

NB: Kuna watu wana pesa ila hawana mawazo na pesa ziko tu benki, Siku moja nitaelezea story moja inayo fanana kwa kiasi fulani na hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera zake aisee...
 
Back
Top Bottom