Ukiona mtu ambaye hagombei na yule gerezani anapendwa sana kuzidi yule anayegombea na yupo majukwaani..OGOPA!. Ukiona watu wanapenda sana maiti kuliko mtu aliye hai OGOPA!. Ni hatari, saizi mtaani kwetu wananchi wa kawaida ni wachache sana kuliko polisi yaani watu wa ulinzi na usalama ni wengi kuliko raia. Si vijiweni na kwenye mkusanyiko ya watu. Watu wa usalama, polisi, askari wa majeshi mbalimbali wanakuja mtaani kupanga na ni wengi sana Hadi unawaza Hawa wanachunguzana wenyewe kwa wenyewe au wanawachunguza raia?? Ubaya ni kwamba raia karibia wote wanafahamu na wanawaangalia tu..😀😀😀. Anayechunguzwa ana akili nyingi kuliko mchunguzi