Shekaina Glory
JF-Expert Member
- Jun 18, 2025
- 207
- 116
- Thread starter
- #21
UMEKOSA CHA KUSEMA KABISANa huyu unayemsifia ni mama mkwe wako mtarajiwa kwa Abdul.

Bange ni mbaya sn hasa zile za kupachika makalioniTutaelewana tu
View attachment 3463578
View: https://www.youtube.com/live/bn55jWlnPeU?si=_zxH6UpuovlQEpq3
Angalia hii Live yanayoendelea Songwe
Leo, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Mkoani Songwe ambako mgombea urais anayependwa zaidi duniani kwa sasa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea na mikutano yake ya kampeni kwa nguvu na ari kubwa.
Dkt. Samia, ambaye amejipatia heshima na mvuto mkubwa kimataifa kutokana na uongozi wake wa kipekee, anazidi kuimarisha dhamira ya kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli na ya haraka. Akiwa Songwe, anapita mtaa kwa mtaa, akizungumza moja kwa moja na wananchi, akisikiliza changamoto zao na kueleza namna ilani ya chama chake itakavyotekelezwa kwa vitendo.
Mapokezi makubwa ya wananchi wa Songwe yanadhihirisha imani kubwa waliyonayo kwake, si tu kama Rais wa awamu ya sita, bali pia kama kiongozi anayewapa matumaini ya mustakabali bora zaidi. Kampeni zake zimejikita katika mshikamano wa kitaifa, uchumi imara, na ustawi wa jamii.
Kwa hakika, safari ya Dkt. Samia Songwe leo inazidi kuthibitisha kwamba upepo wa kisiasa nchini unamuelekea yeye, huku wananchi wakionesha shauku ya kumkabidhi tena kijiti cha uongozi ili aendelee kulisukuma gurudumu la maendeleo ya Tanzania mbele.
Sawa dada Lucia MwashambwaUMEKOSA CHA KUSEMA KABISA

daaahSawa dada Lucia Mwashambwa

acha mambo meusiBora mzee wako angepiga nyeto tu akutupe chooni
ndio huyo huyoHuyu huyu samia??🤣🤣
Kabisaa mkuu nchi imejawa na bahati ya Amani na Viongozi makini wenye kuitunza Amani yetu.SAMIA NI KAMA MAJI TU