charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 5,992
Huyo demu anataka kumchuna tu huyo jamaa hana lolote
I second yah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo demu anataka kumchuna tu huyo jamaa hana lolote
Hiyo sidiria niaje....
Nimebaki natumbua macho tu!
Yaani unataka kusema kwamba unaweza kuwa mfupi halafu mikono ikawa mirefu? Si itaburuza chini!You never knw...anaweza kuwa mfup juu halafu akawa karefuka chini...
Waache waendelee kucheza kwaito za wenzao hao wana ndoa mwenyezimungu awajaalie kila la kheri katika ndoa yao.Wanawake wanamponda mwenzao,ila moyoni wanatamani waolewe
Usoni kakomaa sana yuleSiyo igizo?,huyu dogo ana umri gani?,namuona kama bado dogo hivi..
Duh kumbe wewe ni mfupi, loohhaya maoni ya wana JF!!!!! kweli wafupi tuna kazi.