Yule Msanii Wa Bongo Anayesifika Kuwa Ndiyo Msanii Mfupi Kuliko Wote Amefunga Ndoa

Yule Msanii Wa Bongo Anayesifika Kuwa Ndiyo Msanii Mfupi Kuliko Wote Amefunga Ndoa

teamkibamia! ........... asipochapiwa sijui.
 
Hongera sana Mr. & Mrs. Aki. Mungu awatangulie katika maisha yenu.
 
Siyo igizo?,huyu dogo ana umri gani?,namuona kama bado dogo hivi..
 
Hivi watu kumbe wako serious mpaka wamejaa ukumbini duh yaani kama vile ni mtoto na mama ake
 
hao wanaigiza ndugu, ni movie ya bongo movie hiyo itatoka muda si mrefu.
 
Mi sijaelewa hapo waliposema wamefunga ndoa msikitini
 
Back
Top Bottom