Yule msanii wa Insta azidi kushushuka kila kukicha

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kwanza kabla hata sijasahau, hivi huyu msanii wa insta ameshamaliza kukarabati choo huko kijijini kwao? Maana kanavyojifanya kujitunisha hapa mjini wakati kujenga tu choo cha kisasa ameshindwa.

Halafu na yule baba yake shehe mzima wa madrasa lakini alikuwa anamuunga mkono ushirikina alikuwa anaufanya mwanae mchana kweupe bila aibu [emoji23][emoji23][emoji23]nyie umaskini huu unapelekesha watu.

Halafu kwanza zile gari alizojifanya amewanunulia wazazi mbona hatujawahi kuziona zikiendeshwa na wazazi wake au zilikuwa kiki tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama sio kiki basi walishindwa kuzimudu wakaona waziuze ili mradi pesa itimie walipe gharama ya kuvunja mkataba.

Halafu sijui kwa nini huyu msanii wa insta kila jambo analolifanya lazima lifeli tu mwisho wa siku anaambulia aibu

Miongoni mwa vitu alivyofeli mpaka sasa ni hivi.

1) Mgahawa ameshindwa kutimiza ahadi

2) Aliahidi kugawa nguo ,ameshindwa kutimiza ahadi.

3) Aliahidi kutatua tatizo la dawa huko kijijini kwao ameshindwa kutimiza ahadi.

4) Amejikomba kwa Magufuli. Magufuli kampima mwisho wa siku akamtosa ndio maana Magufuli akapiga simu ya pongezi kwa Platnumz badala ya kupigiwa yeye mzee wa kujikomba.

5) Amefosi bifu mserereko WCB, WCB wamemkwepa mwisho wa siku ameishia kurusha vijembe tu kila kukicha.

6) Ameahidi kufungua radio station yake mwezi March [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ni ndoto ya Alinacha, mtu gharama ya kukarabati choo tu imempelekesha ndo ataweza kufungua radio stations [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dogo atazidi kupotea kila kukicha.
 
kweli dogo anazingua bt kufail katika utafutaji ni sehem ya mapambano, we jiulize mara ngapi umepanga na ukafail?
shida ya harmo ni kutangaza vitu kabla ya wakat sijui anasahau roho mbaya za wabongo? mliokaribu yake mshaurini awe anatangaza mambo akiwa katika hatua za mwisho
 
Kuna kile kisa cha Punda, Baba na Mtoto, wengi mnakifahamu. Sasa hili nalo linafanana kwa karibu sana. Harmonize alikuwa masikini sana na yeye alikiri na anakiri hadi leo, VP anaweza Kumaliza shida za umasikini za ukoo mzima upande wa baba na mama yake? Mengi pia sidhani kama aliweza. Usibake mambo, ila katika maisha tufahamu kuwa " Unapotumia pesa ya wazazi, watakuita toto zembe, vivu na jinga lisiloweza kujitafutia. Ukijenga nyumba ukaishi kwako, watakuambia kuwa umewakimbia wazazi kwa kuwa wao ni masikini kwani ulipaswa kukaa nao pale nyumbani. " Hapa ndio napozidi kuelewa kuwa hakuna jema kwa mwanadamu.
Kiumbe wa lawama daima, Mpenda khusda na mzandiki asiye na aibu kwa hila.
Aliye na akili timamu amenielewa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi zile gari domo alimpa mama yake na mke wake zimepotelea wapi au zimeondoka na upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…