Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Nyiee Nyiee Nyiee
Juzi Kamkamata tena ugoni mkewe kupitia meseji (sijajuwa ni za mgoni wa mwanzo yuleyule ama la..) na sasa kamtaliki kabisa.
MTU AKIJA KUSEMA NIMEKOSA KAZI ZA KUFANYA HADI NAFUATILIA MAISHA YA WATU, YUKO SAHIHI.
Uzi wa ugoni wa mwanzo
www.jamiiforums.com

Kuna mwamba usiku huu kaja kwa bimkubwa wake kumwabia mkasa alioufanya mkewe sasa hivi
Nyieee.... mnapoambiwa kataa ndoa (hasa kwa kijana unaejitafuta) muwe munaelewa. Kuna mwamba kaja kwa bimkubwa wake (jirani yangu) hapa sasa hivi kumsimulia kwamba kamshika ugoni mkewe na muhuni flani hivi hana hili wala lile, kawakuta laivuuu bila chenga. Kasimulia kwa uchungu sana hadi...