Yule mwamba ambae alimshika mkewe ugoni akaenda kutoa taarifa kwa bimkubwa wake yamemkuta tena

Tajiri Sinabay

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
1,333
Reaction score
3,619
Nyiee Nyiee Nyiee
Juzi Kamkamata tena ugoni mkewe kupitia meseji (sijajuwa ni za mgoni wa mwanzo yuleyule ama la..) na sasa kamtaliki kabisa.
MTU AKIJA KUSEMA NIMEKOSA KAZI ZA KUFANYA HADI NAFUATILIA MAISHA YA WATU, YUKO SAHIHI.

Uzi wa ugoni wa mwanzo
 
Talaka ya nini sasa 😅 huyu nae muoga
 
Nyiee Nyiee Nyiee
Juzi Kamkamata tena ugoni mkewe kupitia meseji (sijajuwa ni za mgoni wa mwanzo yuleyule ama la..) na sasa kamtaliki kabisa.
MTU AKIJA KUSEMA NIMEKOSA KAZI ZA KUFANYA HADI NAFUATILIA MAISHA YA WATU, YUKO SAHIHI.

Uzi wa ugoni wa mwanzo
Mnara wa kijana utakuwa na changamoto ya netweki
 
Mpelekee mleta mada mic naona amechoka vidole kuandika atueleze kwa maneno kilichojiri
FB_IMG_1738768302648.jpg
 
Back
Top Bottom