Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Talaka ya nini sasa 😅 huyu nae muogaNyiee Nyiee Nyiee
Juzi Kamkamata tena ugoni mkewe kupitia meseji (sijajuwa ni za mgoni wa mwanzo yuleyule ama la..) na sasa kamtaliki kabisa.
MTU AKIJA KUSEMA NIMEKOSA KAZI ZA KUFANYA HADI NAFUATILIA MAISHA YA WATU, YUKO SAHIHI.
Uzi wa ugoni wa mwanzo
Kuna mwamba usiku huu kaja kwa bimkubwa wake kumwabia mkasa alioufanya mkewe sasa hivi
Nyieee.... mnapoambiwa kataa ndoa (hasa kwa kijana unaejitafuta) muwe munaelewa. Kuna mwamba kaja kwa bimkubwa wake (jirani yangu) hapa sasa hivi kumsimulia kwamba kamshika ugoni mkewe na muhuni flani hivi hana hili wala lile, kawakuta laivuuu bila chenga. Kasimulia kwa uchungu sana hadi...www.jamiiforums.com
Alitakiwa kufanyaje kumbe!Talaka ya nini sasa 😅 huyu nae muoga
Ugoni mara mbili ujue shida iko kwa Mkaka. Trust me 🤭😝Alitakiwa kufanyaje kumbe!
Inawezekana, lakini hiyo shida ndio inatatuliwa kwa kuchepuka!Ugoni mara mbili ujue shida iko kwa Mkaka. Trust me 🤭😝
kuna wadada wanapenda kubadilisha ladha kila cku wali maharage,alafu ukute hana kazi ya kufanyaUgoni mara mbili ujue shida iko kwa Mkaka. Trust me
Mnara wa kijana utakuwa na changamoto ya netwekiNyiee Nyiee Nyiee
Juzi Kamkamata tena ugoni mkewe kupitia meseji (sijajuwa ni za mgoni wa mwanzo yuleyule ama la..) na sasa kamtaliki kabisa.
MTU AKIJA KUSEMA NIMEKOSA KAZI ZA KUFANYA HADI NAFUATILIA MAISHA YA WATU, YUKO SAHIHI.
Uzi wa ugoni wa mwanzo
Kuna mwamba usiku huu kaja kwa bimkubwa wake kumwabia mkasa alioufanya mkewe sasa hivi
Nyieee.... mnapoambiwa kataa ndoa (hasa kwa kijana unaejitafuta) muwe munaelewa. Kuna mwamba kaja kwa bimkubwa wake (jirani yangu) hapa sasa hivi kumsimulia kwamba kamshika ugoni mkewe na muhuni flani hivi hana hili wala lile, kawakuta laivuuu bila chenga. Kasimulia kwa uchungu sana hadi...www.jamiiforums.com
Mkuu umeiba wapi maiki ya msemaji wa chama Cha majobless Bwana makutuporaMpelekee mleta mada mic naona amechoka vidole kuandika atueleze kwa maneno kilichojiri View attachment 3245687
Natafuta mic siioniii kumbe ipo hukuMkuu umeiba wapi maiki ya msemaji wa chama Cha majobless Bwana makutupora
Kuna uhusiano gani hapo fafanua mkuuUkimfuma mwanamke alafu ukawa unaongea huku unahema kiasi Cha kogugumizi ,UJUWE WEE NI FALA TU, HUNA CHA KUMFANYA HUYO MWANAMKE.