Yule mzee Laizer alikuwa bilionaire hata kabla aisee

Yule mzee Laizer alikuwa bilionaire hata kabla aisee

Siwezi kua na "Doo ndefu" nivae mashuka.hata kama sina lazima niwe nadhifu nijijali aisee,kama nisipovaa vizuri,kula vizuri,kulala pazuri/vizuri kuna faida gani ya kuishi.nisipofanya leo nitafanya lini?maisha ndio haya haya.
Siwezi miliki gar ya "Doo ndefu"afu niweke tinted,
 
Ukimsikiliza vizuri, alikuwa anauza ngombe kugharamia gharama za kuchimba. Kwa bado kwangu ana sababu ya kufuga anavofuga.

Ngombe kwake ni kama working capital
Hajawahi kuhudumia mgodi,mawe ya kwanza alikua anahudumia mchina ndio alikata shaft ya huo mgodi na kutoa mawe,aliehudumia kipindi hiki ni kijana anaitwa kaka ndio kasababisha hiyo mawe.
Kwahiyo huo mgao kuna watu watatu wanagawana
 
Mbu
Mbuzi wa 150,000/= hapana mimi mwezi uliopita nimechinja mbuzi kumshukuru Mungu nimesunguka duniani nimerudi zero ila mbuzi nilinunua 70 na walikuwa watatu so I gave 200k acha over estimation.
Wewe ulinunua Vimbuzi vya Vingunguti.. Huyu anazungumzia Mbuzi au Mijimbuzi...
 
Back
Top Bottom