Yule mzee Laizer alikuwa bilionaire hata kabla aisee

Yule mzee Laizer alikuwa bilionaire hata kabla aisee

Nimeskiliza interview yake aisee, jamaa kweli alikuwa ni tajiri tu hata asingepata ile pesa juzi.

Ana Ngombe 2000 ukipiga bei ya wastani wa Ngómbe mmoja ya sh. laki 400,000 = unapata kama wastani shilingi 800,000,000

Halafu ana mbuzi 700 ukipiga mara bei ya 150,000 kwa mbuzi mmoja = unapata kama 100,000,000

Ndo mana tukiwaambia kaskazini kuna ma Don muwe mnaelewa.

Halfu mzee wa watu kavaa simple, rubega ya 15000 tu huku superstaa wa bongo fleva anakomaa kuvaa Luis Vutton halafu mfukoni hana hata mia. Daaa haya maisha haya
Ndo mana tukiwaambia kaskazini kuna ma Don muwe mnaelewa.

Halfu mzee wa watu kavaa simple, rubega ya 15000 tu huku superstaa wa bongo fleva anakomaa kuvaa Luis Vutton halafu mfukoni hana hata mia. Daaa haya maisha haya [emoji848][emoji848][emoji30][emoji30][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
definition ya billionare ni kumiliki kuanzia 1 billion dollar na kuendelea huyu bado ni millionare...
Huitwi bilionea kwakuwa siyo $. Sikuwahi kujua. Nilidhani yeyeto anayemiliki bilioni na kuendelea Ni bilionea, haijalishi Ni fedha za wapi.
 
kanda ya ziwa tumeletewa na wataalamu wa siasa bongo na tumeshalizoea kabisa
wakilichoka watakuja na nyingine kanda ya milima na mabonde kanda ya misitu hahahaaaaa hawashindwi hawa😄😄😄😄

Kuna mzee mmoja wa miaka kama 55 huwa ana matambo sana kwamba kwao ni kaskazini.
Na ni mbishi hujawahi kuona anaweza kubishana na watu hadi 20 na usimshinde 😝.
.
Hatuna cha kufanya Sir toka grade 1 hadi PhD tunafundishwa Arusha,Manyara, Kilimanjaro ni Kaskazini na Mwanza, Mara, Kagera, Geita, Simiyu, Shinyanga ni kanda ya ziwa OVER.
 
Ma Don wa Arusha tunawaelewa sana watoto wao wakipata admission UDSM wanawatafutia accommodation ya kueleweka. Ukimuonyesha ka flat kazuri studio tu analipa 500,000 na anakupa kodi ya mwaka mzima.
Uzuri wanapenda elimu sana.. matajiri wengi wa Arusha watoto wao ni wasomi
 
Mbu
Mbuzi wa 150,000/= hapana mimi mwezi uliopita nimechinja mbuzi kumshukuru Mungu nimesunguka duniani nimerudi zero ila mbuzi nilinunua 70 na walikuwa watatu so I gave 200k acha over estimation.

Kwani wewe mkuu upo upande gani? Unakasirika Laizer kuwa tajiri?
 
Kuwa na ng'ombe 2000 ambao hawaleti tija yoyote,ni upuuzi tu ndio maana wanatuletea mmomonyoko wa ardhi na migogoro na wakulima
Wamasai wanatakiwa wafuge kisasa
Ukimsikiliza vizuri, alikuwa anauza ngombe kugharamia gharama za kuchimba. Kwa bado kwangu ana sababu ya kufuga anavofuga.

Ngombe kwake ni kama working capital
 
Nimeskiliza interview yake aisee, jamaa kweli alikuwa ni tajiri tu hata asingepata ile pesa juzi.

Ana Ngombe 2000 ukipiga bei ya wastani wa Ngómbe mmoja ya sh. laki 400,000 = unapata kama wastani shilingi 800,000,000

Halafu ana mbuzi 700 ukipiga mara bei ya 150,000 kwa mbuzi mmoja = unapata kama 100,000,000

Ndo mana tukiwaambia kaskazini kuna ma Don muwe mnaelewa.

Halfu mzee wa watu kavaa simple, rubega ya 15000 tu huku superstaa wa bongo fleva anakomaa kuvaa Luis Vutton halafu mfukoni hana hata mia. Daaa haya maisha haya
Mkuu hiyo 400,000/= unayosema ni bei ya ngómbe au ndama?bei ya ngómbe kwa taarifa yako tena ngómbe hawa wa Kiswahili sio wale wa Banyankole wenye mipembe mirefu au borana wanaanzia TZS 800,000 tena hiyo ni bei ya kulalawia ukiwa na matatizo .
 
Huitwi bilionea kwakuwa siyo $. Sikuwahi kujua. Nilidhani yeyeto anayemiliki bilioni na kuendelea Ni bilionea, haijalishi Ni fedha za wapi.
Kwa hio mwenye billion ya zimbabwe pia nae bilionea sio?Maana ukumbuke kuna kipindi ndizi mbivu kichane kimoja kilikua kinauzwa mpk million 250 ya Zimbabwe.
 
Ukimsikiliza vizuri, alikuwa anauza ngombe kugharamia gharama za kuchimba. Kwa bado kwangu ana sababu ya kufuga anavofuga.

Ngombe kwake ni kama working capital
Na ng'ombe/mifugo ndio asset unayoweza kuiuza chap chap ikakuvusha kwny kipindi flani tofauti kabisa na assets nyingine.
 
Huwa unawaambia akina nani hizo ishu za ma dom wa kaskazin?

Hivi ulishatembelea migodi ya dhahabu ukashuhudia watu na pesa zao?

Nenda Rufiji, Malinyi, Katavi kwa mfano utakuta watu kwa uchache wana ng,ombe 3000 au 4000.

Abood wa Moro ana mbuzi si chini ya 10,000
sasa mbuzi nazo ni kitu?
 
Back
Top Bottom