Yule mzee Laizer alikuwa bilionaire hata kabla aisee

Ndo mana tukiwaambia kaskazini kuna ma Don muwe mnaelewa.
Kuwa na ng'ombe 2000 ambao hawaleti tija yoyote,ni upuuzi tu ndio maana wanatuletea mmomonyoko wa ardhi na migogoro na wakulima
Wamasai wanatakiwa wafuge kisasa
 
Arusha na Manyara sio Kaskazini na hakuwezi kuwa kaskazini Sir ila unaweza kupaita kaskazini mashariki!
.
Kama Arusha ni Kaskazini, Mwanza patakuwa wapi?
Mwanza kaskazini magharibi mwa nchi, though huku watu wamezoea kaskazini kuwa Kilimanjaro, Arusha and Manyara, kumbe kaskazini inaenda had mikoa ya Kanda ya ziwa
 
Kuwa na ng'ombe 2000 ambao hawaleti tija yoyote,ni upuuzi tu ndio maana wanatuletea mmomonyoko wa ardhi na migogoro na wakulima
Wamasai wanatakiwa wafuge kisasa
Mumasai anaweza kuwa na ng'ombe 7000 huku Hana nyumba Bora daily kutesa wakulima
 
Mwanza kaskazini magharibi mwa nchi, though huku watu wamezoea kaskazini kuwa Kilimanjaro, Arusha and Manyara, kumbe kaskazini inaenda had mikoa ya Kanda ya ziwa
Dunia haina pande inayoitwa kanda ya ziwa wala haijawahi kuwepo.
ziko pande kuu nne tu.
.
ukienda kwenye sources mbalimbali utaona wanakwambia Musoma ni NW ucheke uanguke ufe, huyu anatuambia Kagera ni NW nimecheka hadi nimeanguka.
Arusha ni NE na wala sio N
 
Huyu jamaa hajielewi utaumiza kichwa bure ... anabisha ujinga tu
 
Shida vijana tunaishi life la mashindano na kuangalia mwenzako ana nini, so unakuta hapo wengi hawana subira wanataka matokeo ya harak.. Ndo mana unakuta vijana wengi wametekwa na hizi scheme za get rich quickly kama kubet na mambo ya forever living sijui nini
Na kubeba Sembe
 
Arusha NW wewe na sio NE
Dunia haina pande inayoitwa kanda ya ziwa wala haijawahi kuwepo.
ziko pande kuu nne tu.
.
ukienda kwenye sources mbalimbali utaona wanakwambia Musoma ni NW ucheke uanguke ufe, huyu anatuambia Kagera ni NW nimecheka hadi nimeanguka.
Arusha ni NE na wala sio N
 
Acha ubishi embu angalia hiyo ramani vizuri

Yuko sahihi kuwa Mirerani ipo mkoa wa Manyara Wilaya na Simanjiro. Na huyu Laizer anapoishi sio Mirerani kabisa ila anaishi kijiji kimoja kinaiywa NAISINYAI ambacho ni zaidi ya 10km kutoka Mirerani.. Anapo ishi Laizer ni karibu na mpkani mwa mkoa wa Arusha ila wilaya ya Arumeru(Wanapaita Majengo ) ambayo ndo njia ya kwelekea Uwanja wa Ndege wa KIA .Kifupi ni mpakani mwa Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha
 
Dunia haina pande inayoitwa kanda ya ziwa wala haijawahi kuwepo.
ziko pande kuu nne tu.
.
ukienda kwenye sources mbalimbali utaona wanakwambia Musoma ni NW ucheke uanguke ufe, huyu anatuambia Kagera ni NW nimecheka hadi nimeanguka.
Arusha ni NE na wala sio N
Hapa tunazungumzia kanda/nyanda na sio pande kuu za dunia. Tanzania imegawanywa ktk kanda kama kanda ya kaskazini, kanda ya ziwa..nyanda za juu kusini...na nyingine....
 
Dunia haina pande inayoitwa kanda ya ziwa wala haijawahi kuwepo.
ziko pande kuu nne tu.
.
ukienda kwenye sources mbalimbali utaona wanakwambia Musoma ni NW ucheke uanguke ufe, huyu anatuambia Kagera ni NW nimecheka hadi nimeanguka.
Arusha ni NE na wala sio N
kanda ya ziwa tumeletewa na wataalamu wa siasa bongo na tumeshalizoea kabisa
wakilichoka watakuja na nyingine kanda ya milima na mabonde kanda ya misitu hahahaaaaa hawashindwi hawa😄😄😄😄
 
Mbu
Mbuzi wa 150,000/= hapana mimi mwezi uliopita nimechinja mbuzi kumshukuru Mungu nimesunguka duniani nimerudi zero ila mbuzi nilinunua 70 na walikuwa watatu so I gave 200k acha over estimation.
Ila kwenye ng'ombe ame under estimate
 
Back
Top Bottom