Yule mzee Laizer alikuwa bilionaire hata kabla aisee

Nimeskiliza interview yake aisee, jamaa kweli alikuwa ni tajiri tu hata asingepata ile pesa juzi.

Ana Ngombe 2000 ukipiga bei ya wastani wa Ngómbe mmoja ya sh. laki 400,000 = unapata kama wastani shilingi 800,000,000

Halafu ana mbuzi 700 ukipiga mara bei ya 150,000 kwa mbuzi mmoja = unapata kama 100,000,000

Ndo mana tukiwaambia kaskazini kuna ma Don muwe mnaelewa.

Halfu mzee wa watu kavaa simple, rubega ya 15000 tu huku superstaa wa bongo fleva anakomaa kuvaa Luis Vutton halafu mfukoni hana hata mia. Daaa haya maisha haya
Huwa unawaambia akina nani hizo ishu za ma dom wa kaskazin?

Hivi ulishatembelea migodi ya dhahabu ukashuhudia watu na pesa zao?

Nenda Rufiji, Malinyi, Katavi kwa mfano utakuta watu kwa uchache wana ng,ombe 3000 au 4000.

Abood wa Moro ana mbuzi si chini ya 10,000
 
Nimeskiliza interview yake aisee, jamaa kweli alikuwa ni tajiri tu hata asingepata ile pesa juzi.

Ana Ngombe 2000 ukipiga bei ya wastani wa Ngómbe mmoja ya sh. laki 400,000 = unapata kama wastani shilingi 800,000,000

Halafu ana mbuzi 700 ukipiga mara bei ya 150,000 kwa mbuzi mmoja = unapata kama 100,000,000

Ndo mana tukiwaambia kaskazini kuna ma Don muwe mnaelewa.

Halfu mzee wa watu kavaa simple, rubega ya 15000 tu huku superstaa wa bongo fleva anakomaa kuvaa Luis Vutton halafu mfukoni hana hata mia. Daaa haya maisha haya
Nantombe bana.... una mambo wewe Nantombe!
 
Ila jamaa mda wote huo ana hustle, hao ngombe ndo alikuwa anawatumia kama working capital ya kuendeshea mgodi

Ndio kujiongeza huko mkuu sio unakuwa na mtaji unauchunga tu wekeza uzalishe pesa zaidi, kuna wamasai hapo arusha wana hela ndefu sana hasa hao wa mawe.
 
Na ndo

inavotakiwa hivo, yaaani jamaa hana formal education lakini ana maarifa sana.. kweli kusoma sio guarantee ya kuelimika
 
Nilipataga F embu niambie kwa kutumia pande kuu nne yani Mashariki ambako ni Dar, Magharibi Kigoma, Kusini Mtwara Kaskazini ni Arusha au Manyara kweli?
.
au ka F kananisumbua 😝😝
Sasa kaskazini ni wapi mkuu kama sio Arusha na Kilimanjaro? ... Mbona unataka kunichanganya?

CCM wanichanganye na wewe tena? eboooh
 
Mbu
Nimeskiliza interview yake aisee, jamaa kweli alikuwa ni tajiri tu hata asingepata ile pesa juzi.

Ana Ngombe 2000 ukipiga bei ya wastani wa Ngómbe mmoja ya sh. laki 400,000 = unapata kama wastani shilingi 800,000,000

Halafu ana mbuzi 700 ukipiga mara bei ya 150,000 kwa mbuzi mmoja = unapata kama 100,000,000

Ndo mana tukiwaambia kaskazini kuna ma Don muwe mnaelewa.

Halfu mzee wa watu kavaa simple, rubega ya 15000 tu huku superstaa wa bongo fleva anakomaa kuvaa Luis Vutton halafu mfukoni hana hata mia. Daaa haya maisha haya
Mbuzi wa 150,000/= hapana mimi mwezi uliopita nimechinja mbuzi kumshukuru Mungu nimesunguka duniani nimerudi zero ila mbuzi nilinunua 70 na walikuwa watatu so I gave 200k acha over estimation.
 
Arusha na Manyara sio Kaskazini na hakuwezi kuwa kaskazini Sir ila unaweza kupaita kaskazini mashariki!
.
Kama Arusha ni Kaskazini, Mwanza patakuwa wapi?

Embu angalia hiyo ramani hapo. It depends, eneo lote ambalo nime lished ni north. Sasa sijui unabisha nini mkuu?
arusha.JPG
 
Shida vijana tunaishi life la mashindano na kuangalia mwenzako ana nini, so unakuta hapo wengi hawana subira wanataka matokeo ya harak.. Ndo mana unakuta vijana wengi wametekwa na hizi scheme za get rich quickly kama kubet na mambo ya forever living sijui nini
Naked truth.
 
Back
Top Bottom