BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
ibanezafrica
Ronaldo ni jemedari la vita vya soka. Kapigana Ureno akaenda Man United akaenda Madrid na sasa Juve.
Mesi kacheza klabu gani na gani? Maana ubora wa mwanajeshi unapimwa kwa vita alivyopigana.
Kama ni hivyo basi Anelka aliecheza Klabu12 katika nchi 7 tofauti, na hajachukua hata uchezaji bora..So hoja yako ni dhaifu sana kuwahi kutokea...kuhusu timu yake kutwaa ubingwa kumbuka ile ni team work hata euro waliofanya kazi ni wengine lkn sifa mnampa mtu mwingine mbona mnachekesha sana 😂😂 huko juve alichokifata mnakifahamu haswaa (Mataji)👈maana tim yenyewe kaikuta ipo katika ubora wake ule ule, every season wanatwaa mataji...angeenda basi sampdoria, Genoa or Brescia tuone ubora wake...
Ubora wa Messi ushaonekana baada ya kuingia Nou Camp na kuipatia mataji mengi sana, before ilikuwa na hali mbaya sana 👇
Supercopa de espana mara ya mwisho kutwaa ilikuwa 1996...kwa ujio wa huyu mfalme kaipatia mataji 8
Uefa kabla ya ujio wa mfalme huyu walikuwa na taji 1 tu la UEFA, ilikuwa 1992..baada ya ujio wa mfalme huyu kaipatia mataji ma-4.
Uefa super cup mara ya mwisho kutwaa ilikuwa 1997 wakiwa na mataji 2 tu..kwa ujio wa mfalme huyu kaipatia mataji 3.
Fifa club w/c haikuwahi kutwaa, wa ujio wa mfalme huyu kaipatia mataji ma-3.
Copa del Rey mara ya mwisho kutwaa ilikuwa 1999, kwa ujio wa mfalme huyu kaipatia mataji 6.
La liga mara ya mwisho kuchukua ilikuwa 1999..kwa ujio wa mfalme huyu akaipatia mataji 10.