Yule Ronaldo ndiyo wa kumlinganisha na Messi?

Yule Ronaldo ndiyo wa kumlinganisha na Messi?

ibanezafrica

Ronaldo ni jemedari la vita vya soka. Kapigana Ureno akaenda Man United akaenda Madrid na sasa Juve.

Mesi kacheza klabu gani na gani? Maana ubora wa mwanajeshi unapimwa kwa vita alivyopigana.

Kama ni hivyo basi Anelka aliecheza Klabu12 katika nchi 7 tofauti, na hajachukua hata uchezaji bora..So hoja yako ni dhaifu sana kuwahi kutokea...kuhusu timu yake kutwaa ubingwa kumbuka ile ni team work hata euro waliofanya kazi ni wengine lkn sifa mnampa mtu mwingine mbona mnachekesha sana 😂😂 huko juve alichokifata mnakifahamu haswaa (Mataji)👈maana tim yenyewe kaikuta ipo katika ubora wake ule ule, every season wanatwaa mataji...angeenda basi sampdoria, Genoa or Brescia tuone ubora wake...

Ubora wa Messi ushaonekana baada ya kuingia Nou Camp na kuipatia mataji mengi sana, before ilikuwa na hali mbaya sana 👇

Supercopa de espana mara ya mwisho kutwaa ilikuwa 1996...kwa ujio wa huyu mfalme kaipatia mataji 8

Uefa kabla ya ujio wa mfalme huyu walikuwa na taji 1 tu la UEFA, ilikuwa 1992..baada ya ujio wa mfalme huyu kaipatia mataji ma-4.

Uefa super cup mara ya mwisho kutwaa ilikuwa 1997 wakiwa na mataji 2 tu..kwa ujio wa mfalme huyu kaipatia mataji 3.

Fifa club w/c haikuwahi kutwaa, wa ujio wa mfalme huyu kaipatia mataji ma-3.

Copa del Rey mara ya mwisho kutwaa ilikuwa 1999, kwa ujio wa mfalme huyu kaipatia mataji 6.

La liga mara ya mwisho kuchukua ilikuwa 1999..kwa ujio wa mfalme huyu akaipatia mataji 10.
 
Ni jambo la aibu mno kuona kuwa Ronaldo anathaminiwa zaidi ya Dybala Juventus. Hata ukitizama uwanjani ni dhahiri kabisa Dybala ni far ahead ya Ronaldo.

Ni ujinga kumchezesha ronaldo dakika zote and then dybala 45 minutes, ni kumvunjia heshima mchawi huyu...pale Juve ndie alikuwa kila kitu kabla ujio wa ronaldo, kupiga faulo, penalt + Pjanic...jamaa mpigaji mzuri sana wa freekick kuliko ronaldo...ukweli haufichiki Dybala ataendelea kupendwa sana na mashabiki...uefa alichokifanya acha kabisa mpaka mashabiki walionyesha bango likionyesha picha yake, wakati jamaa alikuwa anazurura tu.
 
Toke atue Juventus CR7 tayari ameshapiga free-kick 28 hata moja haijaingia golini 😂😂😂😂😂
 
Kiuwezo wa mpira sijawahi kutamka ronaldo ni bora kuliko Messi maana ingekuwa natenda dhambi.

Hata maandiko yanasema mpeni heshima mfalme, jamani tumpe heshima Messi.
 
wewe jamaa ni wa ajabu yaani huoni tofaut ya 32 na 34 ? penzi kitovu cha uzembe
tofauti wamepishana miaka miwili lakini hao bado ni rika moja. labda ungesema buffon na Messi apo ningekubali buffon mkubwa kwa kuwa hawapo rika moja.

Messi na Ronaldo ni rika moja
 
Iko hivi the best number 7 is Christian,the best number 10 hapa kuna utata ila tumpe Messi the best number 9 ni Delima Over
 
mtaongea yote ila ronaldo de Lima ndio the best hata mourinho alipoulizwa btn messi and cr7 , yeye akasema ronaldo de lima ndio the best kwake, shida jamaa majeruhi yalimuandama sana kisa mabeki walivokuwa wanamkamia, long live ronaldo

Unaonyesha bado sana kwenye mpira kijana, kumfananisha Messi na de lima ni kama mbingu na nchi...na sitoshangaa kwa jozee kusema hivyo

20191027_091423.png

Chini upande wa kulia 👉Mo anasema nini?
 
mzee mi bado nakupinga kwa point hizi namkubali ronaldo de lima
.de lima kaonyesha uwezo mkubwa sana na amechezea timu kama barca, inter 1997-2002, real na Ac milan 2007-08, huyo messi wenu kachezea timu moja tu angeenda na ligi zingine tumpime huo ubora wake kama de lima

.ronaldo alidominate world cup na kuperform vizuri sana ni moja ya all time scorers , ameshinda world cup mbili akiwa na brazil na moja akaifikisha fainali...

.Ronaldo de lima kashinda ballon d' or tatu tena kipindi chake haikuwa tu wanashindanisha strikers tu ilikuwa ni changanyikeni na bado jembe akachukua tatu , kwa karibia miaka kumi ballon d' or zinashindanishwa tu mastriker sio kama zamani kulikua na midfielders , keepers nk kama kina xavi , neuer, ramos walitakiwa wawe considered sana ....

yani de lima alikua anatuacha vinywa wazi akishika mpira na hata tuliokuwa tunafatilia soka toka enzi tutamkumbuka sana jembe, to me ni all time best kwangu haipingiki
Unaonyesha bado sana kwenye mpira kijana, kumfananisha Messi na de lima ni kama mbingu na nchi...na sitoshangaa kwa jozee kusema hivyo

View attachment 1246328

Chini upande wa kulia [emoji117]Mo anasema nini?
 
Mpira haupo hivyo kma unavyo taka wewe ndio maana mchezaji wa miaka 18 hawez cheza na U_17 hivyo hivyo wa 21 hawezi cheza na U - 20
 
Messi Andunje asingemudu EPL zaidi ya misimu miwili
Yaani nyie watu wa ajabu, Messi anacheza La liga lakini ndo mchezaji aliyezifunga magoli mengi timu kubwa za EPL msimu uliyopita afu unasema asingeweza kucheza EPL
Labda kwa akili zako ni kitu gani kingemzuia ashindwe kucheza.
Kama hapa anakutana tu nazo Kwenye UEFA bado anazifunga magoli mengi?
 
mzee mi bado nakupinga kwa point hizi namkubali ronaldo de lima
.de lima kaonyesha uwezo mkubwa sana na amechezea timu kama barca, inter 1997-2002, real na Ac milan 2007-08, huyo messi wenu kachezea timu moja tu angeenda na ligi zingine tumpime huo ubora wake kama de lima

.ronaldo alidominate world cup na kuperform vizuri sana ni moja ya all time scorers , ameshinda world cup mbili akiwa na brazil na moja akaifikisha fainali...

.Ronaldo de lima kashinda ballon d' or tatu tena kipindi chake haikuwa tu wanashindanisha strikers tu ilikuwa ni changanyikeni na bado jembe akachukua tatu , kwa karibia miaka kumi ballon d' or zinashindanishwa tu mastriker sio kama zamani kulikua na midfielders , keepers nk kama kina xavi , neuer, ramos walitakiwa wawe considered sana ....

yani de lima alikua anatuacha vinywa wazi akishika mpira na hata tuliokuwa tunafatilia soka toka enzi tutamkumbuka sana jembe, to me ni all time best kwangu haipingiki
Kitu gani kinakufanya ukicheza timu tofauti ndo unakua mchezaji mzri kuliko wengine.
Mbona Pele hakucheza timu tofauti lakini bado anahesabika ni mchezaji nguri,? Etoo kucheza barca alichukua treble, akaenda Inter Milan akachukua treble ko ni mchezaji nzr kuliko Messi?
Hoja ya kucheza timu tofauti ni hoja dhaifu sana.
 
Wanatumia hoja dhaifu sana ya kuhama ligi eyi Epl huko si messi ataondoka na goli 100 msimu mmoja?timu hebu angalia game ya barcelona na mancity hii hii ya pep guardiola jinsi walivyopigwa 4 ...Liver wenyewe ule ushindi wao uefa ni kama ajali tu kwa barca maana hadi leo hawaamini kama kweli waliwapiga barca....yaani ni bahati tu na lile goli la mwisho la kuvizia na likakubaliwa hivyo tu lakini Messi epl akija watadhalilika sana watu
Popote messi ata shine kikubwa hapa ni UWEZO BINAFSI
 
Back
Top Bottom