Yule waziri Gwajima ni kiboko - anakupa makavu laivu

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Mijibaba na ndevu zao wanawekwa kiti moto na kufikia kuomba msamaha kwa Waziri Gwajima ,watu kama hawa ndio wanaofaa ,na alipiga dongo kubwa sana ,dongo ambalo lilimlenga maremu kupanga vihio kwenye roho za serikali au kupanga watu ambao fani zao ni tofauti na wanapopaongoza.
 
Unasifia ujinga tu. Mshauri aendelee na huo upuuzi wake wa kutafuta attention, halafu uone kama atadumu kwenye hiyo wizara.
 
Mijibaba na ndevu zao wanawekwa kiti moto na kufikia kuomba msamaha kwa Waziri Gwajima ,watu kama hawa ndio wanaofaa ,na alipiga dongo kubwa sana ,dongo ambalo lilimlenga maremu kupanga vihio kwenye roho za serikali au kupanga watu ambao fani zao ni tofauti na wanapopaongoza.
Sijui hata umeandika nini?
 
Back
Top Bottom