Yule waziri mkuu wa kupachikwa na ziara zake yuko wapi?

Yule waziri mkuu wa kupachikwa na ziara zake yuko wapi?

Wadau bila shaka mko poa, swali langu yule waziri mkuu fake aliyetokana na uongozi wa kuua watu na umwagaji damu aliyekuwa anafanya ziara uchwara zisizo na matunda yuko wapi?
Kijana tuheshimiane mimi ni waziri mkuu halali na nina ratiba zangu za kufanya kazi na ziara.
 
Made from singidan he will come strong 💪#mudasimrefuoct29kilagotilitapigwa.
 
Wadau bila shaka mko poa, swali langu yule waziri mkuu fake aliyetokana na uongozi wa kuua watu na umwagaji damu aliyekuwa anafanya ziara uchwara zisizo na matunda yuko wapi?
Huoni kuwa hata hili sakata la Shekilango to Magufuli limemlenga yeye moja kwa moja.
 
Yupo tu chimbo.....anapunguza saizi ya boksa za rangi ya Kijani..alizopewa na Mzee Wassira..Mchawi wa CCM... avae ...ili nyota ing'ae upya...
 
Back
Top Bottom