and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Esta wamehamia Mbezi tayari?Wadau bila shaka mko poa, swali langu yule waziri mkuu fake aliyetokana na uongozi wa kuua watu na umwagaji damu aliyekuwa anafanya ziara uchwara zisizo na matunda yuko wapi?
Kijana tuheshimiane mimi ni waziri mkuu halali na nina ratiba zangu za kufanya kazi na ziara.Wadau bila shaka mko poa, swali langu yule waziri mkuu fake aliyetokana na uongozi wa kuua watu na umwagaji damu aliyekuwa anafanya ziara uchwara zisizo na matunda yuko wapi?
Yupo wapi?Mwigulu yuupo
Huoni kuwa hata hili sakata la Shekilango to Magufuli limemlenga yeye moja kwa moja.Wadau bila shaka mko poa, swali langu yule waziri mkuu fake aliyetokana na uongozi wa kuua watu na umwagaji damu aliyekuwa anafanya ziara uchwara zisizo na matunda yuko wapi?