Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

Mbona jina na picha hazihusiani?? Yunus au uyo wa kiume??
 
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Daah.
 
Dooh!
Jamaa anatisha huyu.
Hata tapeli sabaya atasubiri sana kwa huyu!
 
NI mzenji, au?
Ana documents kibao za huko!
 
huyu wanamjua vizuri lazima, one man hawezi kuwa na documaa zote hizo.. i think they threw him out of the system na hakukubali kushindwa.. by the way hawa jamaa wenye hivi vimwili jamii ya wazazanzibari huwa ni spy wa hatari mno..miili yao inajikunja mithiri ya chapati ila hutoamini anavokumaliza ...angalia mwili wake alaf angalia size ya vidole vyake..kimwili kama mpakistani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…