Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

Wanaomjua wanasema ni Mzanzbar
Mtoto wa Fundi Nassor mkunazini zaznzbar baba ake alikuwa fundi vespa
(Ni mtoto wa mjini Tapeli Tapeli inshort walikuwa wanamjua)
Fundi Nassor yupi?? Pale kwa kina fundi khamis nyuma ya kituo cha polisi mkunazini au??
 
Wanaomjua Maskani za ZanzbarView attachment 2149099
Screenshot_20220313-174443_WhatsApp.jpg
 
Armed to the Teeth
Huo ndio msemo wa mwamba huyu

Yaani anatembea na Wizara zote
Huyu itakuwa mafunzo kayapatia Eastern Europe maana hao jamaa kama ni Nigeria ni chekechea kwa hao wazungu

hahahahaha umenichekesha sana, umenikumbusha vijana wa Kiromania pale Bucharest au Sofia Bulgaria.....Nigerians hapo bado chekechea sana..
 
Back
Top Bottom