Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

Mwamba alikosea kutoweka peni mbili kwenye mfuko wa Shati.
 
Wanaomjua wanasema ni Mzanzbar
Mtoto wa Fundi Nassor mkunazini zaznzbar baba ake alikuwa fundi vespa
(Ni mtoto wa mjini Tapeli Tapeli inshort walikuwa wanamjua)
Kweli kabisa hana cha u T wala nini
Huyo jamaa tp tuu kitambo
Alafu mbona watu kama hao wako wengi tu

Ova
 
Do, jamaa yuko vizuri sana asee!.

Ila haya manguo siku hizi yamekuwa fashion yaani kila mtu ananyoa, kuvaa d same like them.

Haya sasa jamaa zangu wa pemba, unguja mkuje hapa tuongelee ujambazi na wizi wa kitaalamu.
 
Hayuko peke yake…itakuwa ni Taskforce haramu ya watu kadhaa!

Ingekuwa enzi za Mzalendo namba moja angechezea uhujumu uchumi jamaa na mali zote kina Paul wangechukua
Sema naye mzalendo mzilankenda naye alikuwa anabagua yupi awe mhujumu na nani asiwe vinginevyo makonda asingetesa kiasi kile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…