Urio ni fala tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Jamaa anaonekana kama Tai kweli vile. Usikute ni ex-eagle aliyechomeshwa na eagles wenzake. Rejea kisa cha Lt.Urio na wanafunzi wake wa Ngerengere.
Shikamoo dada mdogo[emoji16]Alafu na pozi la ku-relax kabisa
Vibaya mnoItoshe tu kusema kwamba mwamba ametisha!![emoji113][emoji1672]
😂Acha kushoboka na majina ya watu boss wangu
Kabisa ndugu yangu😂
Asije akakuponza bure mkuu!
Fundi Nassor yupi?? Pale kwa kina fundi khamis nyuma ya kituo cha polisi mkunazini au??Wanaomjua wanasema ni Mzanzbar
Mtoto wa Fundi Nassor mkunazini zaznzbar baba ake alikuwa fundi vespa
(Ni mtoto wa mjini Tapeli Tapeli inshort walikuwa wanamjua)
Wanaomjua wanasema ivyoFundi Nassor yupi?? Pale kwa kina fundi khamis nyuma ya kituo cha polisi mkunazini au??
Armed to the Teeth
Huo ndio msemo wa mwamba huyu
Yaani anatembea na Wizara zote
Huyu itakuwa mafunzo kayapatia Eastern Europe maana hao jamaa kama ni Nigeria ni chekechea kwa hao wazungu