Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Huyu ni mwanaume sana wala hatojuta kukamatwaKanifurahisha Hadi passport za Bakharesa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mwanaume sana wala hatojuta kukamatwaKanifurahisha Hadi passport za Bakharesa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
hahahaha.mambo vp anko? Huyo bd ila yuko vzr.anafaa kuongezewa vitu kdg awe master zaidiUncle una lipi la kusema hapa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amekuzidi had wee huyu, hebu bisha nikuone. Hahahah
Kama anavyoonekana hapo pichani!no regretsHuyu ni mwanaume sana wala hatojuta kukamatwa
Ndio maana ni bora ukiamua kuwa muovu uwe muovu wa kutisha na kama umeamua utakatifu hali kadhalika.Kama anavyoonekana hapo pichani!no regrets
Hivyo vitu kuvimiliki kwa Zanzibar inawezekana maana Serikali ya Mapinduzi mifumo yake yaki utendaji ipo uchiHawa ndio majoker sio Makonda anajifnya master kumbe pimbi tuu
Uncle mie niko poaaah.hahahaha.mambo vp anko? Huyo bd ila yuko vzr.anafaa kuongezewa vitu kdg awe master zaidi
hahahaha.dah km anacho hadi changu.huyo si mtu mzuriUncle mie niko poaaah.
Aaaah uncle acha bas wivu. Kwan ukikubali kakuzidi utakosea wapi? Ukute hadi kitambulisho chako anacho yeye huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chezea Yunus wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama sabaya ni usalama basi alikuwa mgambo. Hahahaha. Alikuwa na akili ndogoNi askari kanzu ( deep under cover).
Hata Sabaya na yeye ni usalama
Imeishia wapi ?Usikute ni mwenyewe ila kaingia mkenge. Na hatatoa jibu kama ndiye. Ila kesi itaishia hewa. Tusikilize wenye watu wao watasemaje japo hawatakubali.
Jamaa mafiaDah kubabeki.. Kweli wanaume tunazidiana