Yaani huu ushuhuda wako unanifanya roho iumeeee..... Where are the brothers? Wakaka/wababa wa kuona wanapatikana wapi kwa mtindo huu? Sad.
Huyo kijana ambae mko the same age
Sababu umekua wazi kua humpendi it is beta tu uachie ngazi mapema
.. Na ni kweli kua ni mdogo kwako as much as wote mpo Umri mmoja. Kwa maelezo yako naamini ni kweli anakupenda
Ila bado hajakomaa sana kifikra na kimatendo. Nasema hajakomaa kwa sababu zifuatazo
Mwanaume hata kama kakupenda vipi ni lazima aweke nafasi ya rafiki/ndugu/jamaa
. Labda tu itokee mlipanga kuspend a weekend kama siku mbili hivi kwa ajili yenu tu. Ila inapotokea anakaa mda mrefu hapo mjini na asitafute ndugu /rafiki/jamaa yeyote na wapo wengi ni dhahiri kua bado yupo katika stage ya kuwehuka na Mapenzi. Hivo basi atakapo kaa sawa huyu aweza badilika vibaya mno.
Mahusiano ya watu wazima hambadilishani tabia
. Mna compromise na kurekebishana taratibu with time
Haiwezekani amekuja mara moja atake kuacha pombe, mara moja aende kanisana na mara moja a transform tabia zote ambazo wewe hupendi. Lazima ata lapse na kurudi tabia zake. Mwanaume alo mature atakuambia kua sasa kama hupendi nitapunguza taratibu na kujitahidi kutofanya kwa sana
. Hio ya kubadilika yaweza kuja with time.
BTW Ni marufuku when a man takes care of you to the maximum uanze kusema Punguza
Wewe kua mvumilivu atapunguza tu! Believe me you he wont do it forever
. Na hata akifanya forever lazima itapungua kiasi Fulani.
Huyo kaka wa Kazini naomba pitia
HAPA (Do you feel Loved?)