Yupi anafaa kua mume...Ushauri plz

Yupi anafaa kua mume...Ushauri plz

wanamme wachache sana wasafi kabla ya kuoa. Harufu ya mdomo, mbona kuna tiba? Harufu ya pua aende hospitali kukiss mfundishe, we siku ya kwanza hukubabaika? Kiuno hakikuwa kama gari imekata senta bolt? Anyway, sasabu humpendi ndo maana huoni solution. Ila utakutana naye akiwa ameshaoa na kapendeza, roho itakuumaje? Mpigishe mswaki asubuhi na kila anapomaliza kula. Mtafutie deodorants za mwili anza kumwangalia positively, anaonakana ni mtu responsible na hiyo ndo uanamme, we bado unahangaika na masharobaro.
nakubaliana nawewe
 
asante, actually alimtumia wakati yuko lonely.
Kapata kipozeo ofisini anamtema.

What a shame!
Angemwambia toka mwanzo.

hahaha tatizo la egoli, sunset beach ndo hlo. . mnapenda vitu vya muda kuliko halisia. . huyo unaemuna ananuka kwa vile umempata wa kulinganisha? je wakati unbnza kumvulia chupi ulikuwa umeziba pua? huwez mkashfu mtu aliyekamili kwa mapungufu yako. . hujatulia, jiulize uamue usitaman vitu vya kupita viwezavyo kuhama.
 
tatizo na masters yako bado hujakua.....
Sasa naona umuhimu wa msichana kudate kadri awezavyo ujanani ili yatakapotokea mambo kama haya atajua jinsi ya kuyahandle.......
 
asante, actually alimtumia wakati yuko lonely.
Kapata kipozeo ofisini anamtema.

What a shame!
Angemwambia toka mwanzo.

aibu zaidi ni kuwa hajagundua kuwa huyo kaka wa ofisini anamtumia, loh!!!!!!
 
hahaha tatizo la egoli, sunset beach ndo hlo. . mnapenda vitu vya muda kuliko halisia. . huyo unaemuna ananuka kwa vile umempata wa kulinganisha? je wakati unbnza kumvulia chupi ulikuwa umeziba pua? huwez mkashfu mtu aliyekamili kwa mapungufu yako. . hujatulia, jiulize uamue usitaman vitu vya kupita viwezavyo kuhama.
asante...tatizo lilikuwepo tangu siku ya kwanza. vipi hayo mengine..sinitaonekana sugar mami jamani..kila ninayekutana nae tukiwa wote anadhani ni mdogo wangu
 
lol...thanx alot kwa ushauri. Tatizo la huyu wa kwanza, nimeshajaribu kuachana nae zaidi ya mara tatu lakini hakubali kushindwa. he can even cry. yaani ninavyomwambia hakuna future anasema sawa tu kwani hatoweza kumpenda mwanamke mwingine na kama asiponioa hatooa tena. nimetumia njia nyingi hadi rafiki zake wanamshauri aniache lakini hataki kabisa. nimejaribu hata kuongea na rafiki zake wamsaidie matokeo yake alikunywa sumu na kuponea hospitali. he becomes so depressed nikimwambia kuhusu kuachana na atakuja kwa garama yoyote ilimradi tulisolve

Shost mbona ulilonalo sasa ni janga! ila kiukwel huyo kaka wa pil si mtu mzur kwako kwan nahis ana msichana mwingine ampendaye zaida yako ila sasa huyo wa kwanza daa tatizo lake liko ndan zaid mh ,....
 
aibu zaidi ni kuwa hajagundua kuwa huyo kaka wa ofisini anamtumia, loh!!!!!!
asante. huo ni mtazamo tu. ila ukweli sio loneliness bali huruma. worse enough hatuishi mji mmoja kwa hiyo hata upweke hakuweza kuuondoa.
 
Shost mbona ulilonalo sasa ni janga! ila kiukwel huyo kaka wa pil si mtu mzur kwako kwan nahis ana msichana mwingine ampendaye zaida yako ila sasa huyo wa kwanza daa tatizo lake liko ndan zaid mh ,....
asante kwa ushauri Merita
 
asante..nitajaribu. nilichokua nikiwaza ni labda harufu ya mdomo wake sio mbaya ila tu hatuendani. vipi suala la pumzi??? kuhusu mwili deodorant anatumia na inaleta afathali. vipi umri na muonekano wake mdogo kuliko mimi. sifeel comfortable kua nae???
 
Shost mbona ulilonalo sasa ni janga! ila kiukwel huyo kaka wa pil si mtu mzur kwako kwan nahis ana msichana mwingine ampendaye zaida yako ila sasa huyo wa kwanza daa tatizo lake liko ndan zaid mh ,....

huyo wa pili ana mtu tayar ila yeye kajipeleka na anatumika kama kiburudisho. kama alikuwa serious angevuta muda kwa wa kwnz wakafahamian kuliko first date ikawa kitandan, sasa wamuona hana thaman lakin kumbuk we ka wewe hujithamin mwili wako
 
Yaani huu ushuhuda wako unanifanya roho iumeeee..... Where are the brothers? Wakaka/wababa wa kuona wanapatikana wapi kwa mtindo huu? Sad.

Huyo kijana ambae mko the same age… Sababu umekua wazi kua humpendi it is beta tu uachie ngazi mapema….. Na ni kweli kua ni mdogo kwako as much as wote mpo Umri mmoja. Kwa maelezo yako naamini ni kweli anakupenda… Ila bado hajakomaa sana kifikra na kimatendo. Nasema hajakomaa kwa sababu zifuatazo…

Mwanaume hata kama kakupenda vipi ni lazima aweke nafasi ya rafiki/ndugu/jamaa…. Labda tu itokee mlipanga kuspend a weekend kama siku mbili hivi kwa ajili yenu tu. Ila inapotokea anakaa mda mrefu hapo mjini na asitafute ndugu /rafiki/jamaa yeyote na wapo wengi ni dhahiri kua bado yupo katika stage ya kuwehuka na Mapenzi. Hivo basi atakapo kaa sawa huyu aweza badilika vibaya mno.

Mahusiano ya watu wazima hambadilishani tabia…. Mna compromise na kurekebishana taratibu with time… Haiwezekani amekuja mara moja atake kuacha pombe, mara moja aende kanisana na mara moja a transform tabia zote ambazo wewe hupendi. Lazima ata lapse na kurudi tabia zake. Mwanaume alo mature atakuambia kua sasa kama hupendi nitapunguza taratibu na kujitahidi kutofanya kwa sana…. Hio ya kubadilika yaweza kuja with time.

BTW Ni marufuku when a man takes care of you to the maximum uanze kusema Punguza… Wewe kua mvumilivu atapunguza tu! Believe me you he won’t do it forever…. Na hata akifanya forever lazima itapungua kiasi Fulani.

Huyo kaka wa Kazini naomba pitia HAPA (Do you feel Loved?)
asante sana dada...
 
asante..nitajaribu. nilichokua nikiwaza ni labda harufu ya mdomo wake sio mbaya ila tu hatuendani. vipi suala la pumzi??? kuhusu mwili deodorant anatumia na inaleta afathali. vipi umri na muonekano wake mdogo kuliko mimi. sifeel comfortable kua nae???

nijuavyo mimi kabla ya kukubalian na mwanaume kuna vitu lazima utakuwa unavitaman au kuvitaka kwa mwanaume kama muonekano, urefu nk je hvyo hukuviona mwanzo?
 
pingana na asili sasa kama una nia.

Hujawahi sikia watu wanafukuza bahari? Why? Sababu wana nia na eneo la kujenga au kulima.

Tatizo humpendi, ila kwa nini ulimkubali mwanzo? Hukusikia pumzi?
Labda hasafishi pua vizuri je?

Baby face+kubwa face=perfect match

kama kakupenda wewe na kubwa face yako shida iko wapi? Kumbe una mahusiano kwa ajili ya watu watakuonaje?

huyu sio mchafu. ni asili tu
 
angalia ni yupi anaejua nn maana ya future
kwa tabia zako hizo yaonyesha hujawapenda kwa dhati bali umewapenda kwa visababu fulani fulani
upendo haujatoka moyoni mwako
utaishi kuliwa na wote badae utabaki nunga iyemmbe. hiyo masters yako ni ya kukopi na kupaste ushindwe kujua ni yupi akufaae? kuwa makini mapenzi hayaangalii elimu na sijaona tofauti kati ya hiyo masters na degree havina uhusiano ktk mapenzi.
 
wanamme wachache sana wasafi kabla ya kuoa.

Harufu ya mdomo, mbona kuna tiba?
Harufu ya pua aende hospitali

kukiss mfundishe, we siku ya kwanza hukubabaika?
Kiuno hakikuwa kama gari imekata senta bolt?

Anyway, sasabu humpendi ndo maana huoni solution.
Ila utakutana naye akiwa ameshaoa na kapendeza, roho itakuumaje?

Mpigishe mswaki asubuhi na kila anapomaliza kula.
Mtafutie deodorants za mwili
anza kumwangalia positively, anaonakana ni mtu responsible
na hiyo ndo uanamme, we bado unahangaika na masharobaro.
Dadam
Nakuhakikishia hapa Kongosho kamaliza kila kitu.Kama unataka kuishi kwa amani katika maisha yako olewa na mwanaume anayekupenda, kumbuka positively anavyokupenda huyu na jitahidi mrekebishe, utakuja kujuta ukimtosa huyu jamaa...
 
Hvi haya maisha yalivyo magumu,nyie wenzetu mnapata wapi muda wa kutunga hadithi kama hzi?
 
bi shosti, kifupi usione watu na ndoa zao miaka kumi ishirini ukadhani lelemana, una mwanamme anayekupenda kwa dhati na kukujali, mfanye awe vile utakavyo....kuoga mara mbili, mnunulie uturi, na uzuri
mwanaume anapesa mwambie akupe hela ukamnunulie perfume za maana, mfundishe kuswaki vizuri mara mbili au pale anapokula, vyakula vinanavyomnukiisha mdomo mwambie aviache.....

Hivi umemzidi miezi 3 ndo unajiona mkibwa? Na waliowazidi waume zao miaka 5 wasemaje?

Penzi ni vile unavyolijenga.......

Ukitaka kushow off endelea na huyo bwana wa ofsn, usidhani atakuoa, your just a fling to him, atakumega mwisho wa siku utaona wafanyakazi wenzio wanaenda kununua zawadi jamaa anao.

Narudia mahusiano yanajengwa, mjenge huyo mwanaume awe vile unavyotaka, ukimwacha atapata mwanamke anayejua kujenga ampendezeshe ubaki kuumia roho

Back
Top Bottom