Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
nakubaliana nawewewanamme wachache sana wasafi kabla ya kuoa. Harufu ya mdomo, mbona kuna tiba? Harufu ya pua aende hospitali kukiss mfundishe, we siku ya kwanza hukubabaika? Kiuno hakikuwa kama gari imekata senta bolt? Anyway, sasabu humpendi ndo maana huoni solution. Ila utakutana naye akiwa ameshaoa na kapendeza, roho itakuumaje? Mpigishe mswaki asubuhi na kila anapomaliza kula. Mtafutie deodorants za mwili anza kumwangalia positively, anaonakana ni mtu responsible na hiyo ndo uanamme, we bado unahangaika na masharobaro.
hahaha tatizo la egoli, sunset beach ndo hlo. . mnapenda vitu vya muda kuliko halisia. . huyo unaemuna ananuka kwa vile umempata wa kulinganisha? je wakati unbnza kumvulia chupi ulikuwa umeziba pua? huwez mkashfu mtu aliyekamili kwa mapungufu yako. . hujatulia, jiulize uamue usitaman vitu vya kupita viwezavyo kuhama.
asante, actually alimtumia wakati yuko lonely.
Kapata kipozeo ofisini anamtema.
What a shame!
Angemwambia toka mwanzo.
asante...tatizo lilikuwepo tangu siku ya kwanza. vipi hayo mengine..sinitaonekana sugar mami jamani..kila ninayekutana nae tukiwa wote anadhani ni mdogo wanguhahaha tatizo la egoli, sunset beach ndo hlo. . mnapenda vitu vya muda kuliko halisia. . huyo unaemuna ananuka kwa vile umempata wa kulinganisha? je wakati unbnza kumvulia chupi ulikuwa umeziba pua? huwez mkashfu mtu aliyekamili kwa mapungufu yako. . hujatulia, jiulize uamue usitaman vitu vya kupita viwezavyo kuhama.
lol...thanx alot kwa ushauri. Tatizo la huyu wa kwanza, nimeshajaribu kuachana nae zaidi ya mara tatu lakini hakubali kushindwa. he can even cry. yaani ninavyomwambia hakuna future anasema sawa tu kwani hatoweza kumpenda mwanamke mwingine na kama asiponioa hatooa tena. nimetumia njia nyingi hadi rafiki zake wanamshauri aniache lakini hataki kabisa. nimejaribu hata kuongea na rafiki zake wamsaidie matokeo yake alikunywa sumu na kuponea hospitali. he becomes so depressed nikimwambia kuhusu kuachana na atakuja kwa garama yoyote ilimradi tulisolve
aibu zaidi ni kuwa hajagundua kuwa huyo kaka wa ofisini anamtumia, loh!!!!!!
Shost mbona ulilonalo sasa ni janga! ila kiukwel huyo kaka wa pil si mtu mzur kwako kwan nahis ana msichana mwingine ampendaye zaida yako ila sasa huyo wa kwanza daa tatizo lake liko ndan zaid mh ,....
asante sana dada...Yaani huu ushuhuda wako unanifanya roho iumeeee..... Where are the brothers? Wakaka/wababa wa kuona wanapatikana wapi kwa mtindo huu? Sad.
Huyo kijana ambae mko the same age Sababu umekua wazi kua humpendi it is beta tu uachie ngazi mapema .. Na ni kweli kua ni mdogo kwako as much as wote mpo Umri mmoja. Kwa maelezo yako naamini ni kweli anakupenda Ila bado hajakomaa sana kifikra na kimatendo. Nasema hajakomaa kwa sababu zifuatazo
Mwanaume hata kama kakupenda vipi ni lazima aweke nafasi ya rafiki/ndugu/jamaa . Labda tu itokee mlipanga kuspend a weekend kama siku mbili hivi kwa ajili yenu tu. Ila inapotokea anakaa mda mrefu hapo mjini na asitafute ndugu /rafiki/jamaa yeyote na wapo wengi ni dhahiri kua bado yupo katika stage ya kuwehuka na Mapenzi. Hivo basi atakapo kaa sawa huyu aweza badilika vibaya mno.
Mahusiano ya watu wazima hambadilishani tabia . Mna compromise na kurekebishana taratibu with time Haiwezekani amekuja mara moja atake kuacha pombe, mara moja aende kanisana na mara moja a transform tabia zote ambazo wewe hupendi. Lazima ata lapse na kurudi tabia zake. Mwanaume alo mature atakuambia kua sasa kama hupendi nitapunguza taratibu na kujitahidi kutofanya kwa sana . Hio ya kubadilika yaweza kuja with time.
BTW Ni marufuku when a man takes care of you to the maximum uanze kusema Punguza Wewe kua mvumilivu atapunguza tu! Believe me you he wont do it forever . Na hata akifanya forever lazima itapungua kiasi Fulani.
Huyo kaka wa Kazini naomba pitia HAPA (Do you feel Loved?)
asante..nitajaribu. nilichokua nikiwaza ni labda harufu ya mdomo wake sio mbaya ila tu hatuendani. vipi suala la pumzi??? kuhusu mwili deodorant anatumia na inaleta afathali. vipi umri na muonekano wake mdogo kuliko mimi. sifeel comfortable kua nae???
huyu sio mchafu. ni asili tu
Dadamwanamme wachache sana wasafi kabla ya kuoa.
Harufu ya mdomo, mbona kuna tiba?
Harufu ya pua aende hospitali
kukiss mfundishe, we siku ya kwanza hukubabaika?
Kiuno hakikuwa kama gari imekata senta bolt?
Anyway, sasabu humpendi ndo maana huoni solution.
Ila utakutana naye akiwa ameshaoa na kapendeza, roho itakuumaje?
Mpigishe mswaki asubuhi na kila anapomaliza kula.
Mtafutie deodorants za mwili
anza kumwangalia positively, anaonakana ni mtu responsible
na hiyo ndo uanamme, we bado unahangaika na masharobaro.
Iko penda sana kiss weye?duu..education ni kitu kingine ndugu zangu. yawezekana tuliishia kung'ang'ania kitabu sasa mapenzi yanatuumbua
asante..nitajaribu. nilichokua nikiwaza ni labda harufu ya mdomo wake sio mbaya ila tu hatuendani. vipi suala la pumzi??? kuhusu mwili deodorant anatumia na inaleta afathali. vipi umri na muonekano wake mdogo kuliko mimi. sifeel comfortable kua nae???