Yupi anafaa kua mume...Ushauri plz


....pole kaka,..uchungu wa mwana...


...work to make it perfect bana.....
the cycle remains the same.... Chance >> Choice
Unakutana na 'kupendana' na mtu by chance, unaishi na mtu by choice...!

Work to make it 'perfect' for you two.
 
Kwa mali zao.
Kwa uzuri wao.
Kwa nasaba zao.
Kwa dini zao.
 
Nyege mbaya.................olewa na wa mwanza kisha wa dar awe hawara yako,huko ndo kula keki na kubaki nayo mkononi.
Kama unataka kujua tactic za kum cheat mme asijue niPM.

mfumo shirikishi
 
makubwaaaaaaaa asante sana kwa ushauri
 
Jamani wana JF nashukuruni kwa ushauri na maoni yenu. mmenisaidia kwanza kujitambua, pili, kuyaelewa mahusiano, tatu kujua nilipokosea na ninapoendelea kukosea, na finally imenisaidia kuanza kuangalia upya mahusiano niliyo nayo..natamani ningem PM kila mmoja kuexpress shukrani ila siwezi..asaneni jamani
 
asante...tatizo lilikuwepo tangu siku ya kwanza. vipi hayo mengine..sinitaonekana sugar mami jamani..kila ninayekutana nae tukiwa wote anadhani ni mdogo wangu

My dia katika maisha haya kamwe huwezi kumridhisha kila mtu,
Isitoshe km unampenda kwa ajili ya maisha yako wala hutajali maneno ya watu ila km unampenda kwa ajili ya showoff pole sana itakucost maishan kwa hutoweza kumpata aliye kamilika ni km ulivo ww unamapungufu yako.
 
Reactions: BPM
dadam mtafute shigongo maana unaonekana ni mtunzi mzuri sana!!
 
Nyege mbaya.................olewa na wa mwanza kisha wa dar awe hawara yako,huko ndo kula keki na kubaki nayo mkononi.
Kama unataka kujua tactic za kum cheat mme asijue niPM.
Khaaaaaaaaaaa!

Shikamoo Bishanga.
 

heri umechagiza kidogo , umeweka kaujazo kadogo natarajia ujazilize zaidi
 
duuuh!mdada unayaweza, wanaume wawili kwa mpigo...uko juuuuuu
 

Udhaifu wa kijana anayekuhudumia unaweza kumrekebisha na akawa safi. Tatizo la harufu ni la kibaiolojia. Linaweza kutatuliwa. Huyo unayempatia ngono anataka kukuchezea ru.
 
hilo la harufu mbaya na kukiss mbona yanatibika.
 
heri umechagiza kidogo , umeweka kaujazo kadogo natarajia ujazilize zaidi

Hapo alinigusa sana ndio maana uvumilivu ukanishinda nikatoa la moyon!!

Tatizo huyu mdada kashindwa kuweka vipaumbele vya aina ya mwanaume anayemtaka kuzingatia furaha ya maisha na furaha ya mda mchache,
Na pia ameshindwa kujua kua ktk maisha ni bora uwe na mtu aliyetimia vigezo mhimu ambavo ni in born character au inner look ambayo ndio muhimu maishan na yale mengine ya out look km hayo ya harufu na mengine yanayotibika na kurekebishika ukaongezea mwenyewe kwa kushirikiana naye,

Inaonekana akili yake imeshindwa tu kufikiria mbali zaidi kuhusu furaha ya maisha ya baadae yeye na wanae na familia kwa ujumla kwa kuwa na mtu mwenye mapungufu yanayorekebishika tena yanayohitaji jitiahada zake ili kumuweka vile atakavo km jukumu lake badala yake anang'ang'ania furaha ya mda mchache kutoka kwa mtu mwenye mapungufu yasiyorekebishika tena mwenye mtu wake!

Hakuna mwanadamu aliyekamilika humu dunian na hakuna anayeolewa au kuoa aliyekamilika na mwenye sifa zote anazozihitaji kunachotokea ni vinapopatikana vile vya muhimu mnaona mengine ni kuvumiliana na kuerekishana on the way coz hakuna mkamilifu.
 
Reactions: BPM

Huyo wa kwanza ndio wako
Unachatakiwa kukifanya ni kumsaidia kupata matibabu ya Meno ili harufu hiyo imtoke na kama sio meno yanayoleta harufu basi atakua na tatizo la njia ya hewa ambayo yanatibika

What if huyu wa kwanza akiweza kissing to your standards????

and this itawezekana ukiamua kutoa tuition kwake
 

yea ni kweli usemayo .. kingine hana maamuzi au vitu vya msingi atakavyo kwa mtu au mwenza.. inakuwa mradi tu liende , kingie ambacho ni kibaya kaonyesha udhaifu wa kutofahamu hasa kwa wa kwanza kakubali fasta na akajivua .. sasa huyu wa pili amekuwa too emotional nadhan kafuatilia tamthilia au katika story na marafikize ndo maana akaona wa kwanza si mali kitu
 
Haya mambo yanahitaji uelewa na busara zaidi na wala kiwango cha elimu hakihusiki kbs,
Ni vizuri kuwa namaamuzi binafsi hasa linapokuja swala la maisha na furaha ya familia yako na si kujali watu wengine wanasemaje au wananionaje!
 
Reactions: BPM
Mi nadhani kuna makosa makubwa unafanya dada.. nayo ni ku-compare watu!! na hili limekuwa tatizo sana katika maisha ya mahusiano, mtu anawanaume wawili au watatu na anakuwa nao wote kwa mpigo!! na then anajaribu kulinganisha nani ana nini na nani hana, au nani mzuri katika nn na nani si mzuri...
Nachoweza kusema watu wanatofautiana, na since no body is perfect, naomba nikuambie sidhani kama utampata exactly yule unayemuota.... kuna wakati ni vzr kumkubali mtu kwa mapungufu yake ili maisha yaendelee!!
Ushauri: huyo wa kwanza ni hubby material, ila kwa kuwa huna feelings nae si vzr kuwa ne, trust me...itakucost baadae katika ndoa. Huyo wa pili ni player tu...ana wake ila anatafuta mbadala wa kupumzika.... na ww ndiye mbadala huo!!

My suggestion ni kuwa tafuta mwanaume mwingine na chukua muda kumsoma kidogo kabla ya kumtolea nguo, jua madhaifu yake na mazuri yake na jiulize kama upo tayari kukubaliana na udhaifu aliona then anza mahusiano... pls pls usifanye kama ulilofanya la kuwa na wanaume wawili kwa pamoja, hilo ni kosa kubwa na hutapata Mr. right guy..
 
Haya mambo yanahitaji uelewa na busara zaidi na wala kiwango cha elimu hakihusiki kbs,
Ni vizuri kuwa namaamuzi binafsi hasa linapokuja swala la maisha na furaha ya familia yako na si kujali watu wengine wanasemaje au wananionaje!

yeah ni kweli , na wengi tunashindwa kutofautisha asili na muda , weng hupenda vitu vya muda na vya kuonekana kwa watu .. vitu asili huonekana kwa muhusika zaidi kuliko watu wa nje ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…