Yupi anafaa kua mume...Ushauri plz

Dada yangu uyo wa Mwanza he is a perfect guy for you!
Hayo mapungufu mwambie ukweli ili muyafanyie kazi jointly including mapungufu anayoyaona kwako pia.
Uyo wa kwa ofisi ana wake so wewe kwake ni nyumba ndogo.
Mda unaenda dada na unaitaji kuwa na mme ili uendeleze kizazi na kulinda heshima yako!
 
Wenzako wanalia mchna na ucku japo tu wapate waume wanaowapenda ww unatafuta unaowapnda wewe...! Ebu waulize wenzako wenye ndoa,utajuta maishani ukimwacha wa Mwz utanambia...
 
EMT!! awali ya yote naomba nikushukuru kwa muda wako.asante kwa kupoteza muda mwingi kwa ajili yangu. i real appreciate.
1.Mwnyewe anayajua sana, tulishayaongelea sana especially when discussing the progress of our relationship. all the time it is face to face. i used a very polite and even romantic way of saying it. yeye anasema kua itakua simpendi thats why naona kama harufu na pumzi zetu haziendani. nasema hivyo kwani the problem sio kama ananuka like jasho or what...ni ile harufu ya mtu ambayo kila mtu ana yake. like ukipewa nguo ya mkeo gizani lazima utaijua hata kama haina perfume. nazungumzia ile natural harufu from god.
2. kama harufu ndo hizo, it means hata aoge, apige mswaki atumie body spray gani, his coligne will remain to be the same.
3. sijisifii ila i think i am a good leader when it comes to kissing. the problem with my guy ni kua its like anakaza sana lips zake plus ni ndogo basi inaharibu kila kitu. nikimwambia kua i enjoy zaidi anapolegeza lips, it will take few seconds and he becomes too concious hali ambayo inaharibu everything. i have tried sana na nimekua nikimpa motivations za kila aina anapofanya vizuri but still it doesnt work
sasa, ukijumlisha na ile harufu nisiyoipende..inanikata stim zote. nimejaribu pia kutumia pipi na chocolate during kissing, still it doesnt work.
TATIZO la umri sio kubwa but muonekano. anaonekana mdogo with a beautiful baby face. tatizo unajua sisi wanawake tunazeeka haraka so itakua shida hapo baadae kidogo atakaponiacha kutafuta dogodogo.
4. kama vingewezekana i will be very glad to have him forever and treasure his as my husband
KUHUSU HUYU WA PILI SASA
sikatai kwamba anaweza kua playboy, atanicheat kama alivyomcheat mwenzangu n.k
and from other comments yawezekana ni kweli hanipendi coz he does not give me the attention i need
ILA huyu mtu ni mzembe kimawasiliano kwa ujumla. sio ajabu kwake kusahau simu kwenye gari au home siku nzima. kwa hiyo sometimes anajitetea kua simu aliiacha and thats is very true kwani nilishawahi kumtumia msg hadi kesho yake nikaikuta simu kwenye gari na missed call zangu na msgs kila kitu naye comfortably yupo amelala.
kingine huyu kaka ni introvert(if you can understand) sio msemaji wa hisia na jinsi anavyojisikia.
ila kwakua we are both different. i guess hanifai

Conclusion
i better keep my self available. hakuna anaenifaa kati ya hao japo duniani hakuna perfect man na hata mimi sio perfect. nikiwa na wa kwanza nitamcheat bureeeeee. ndoa inahitaji commitment. wa pili nae atanifanya nijuteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kumfahamu
i am a single girl from now. thanx all kwa ushauri
 
asante kwa ushauri
 
Sasa weye unatafta mume o mume ajuae kukic?....mi nnachojua hapo humpend huyo kaka wa kwanza kiukwel unamuonea huruma 2 kwa v2 anavokupa bt ushaur 2 temana na huyo shalohalo n huyo acyejua kis n haruf mdomon ni ugonjwa hebu jarb nenda nae hsptl mtapata tba afu mfundshe taratbu v2 unavotaka fanyiwa mkiwa faragha mama..shaurlo we ruka 2 utaishia megwa
 
asante kwa ushauri
 
Wenzako wanalia mchna na ucku japo tu wapate waume wanaowapenda ww unatafuta unaowapnda wewe...! Ebu waulize wenzako wenye ndoa,utajuta maishani ukimwacha wa Mwz utanambia...

hahahahahah,hyo mikwara!
Usimtishe anaweza akapata nyc person,
 
Kwa jinsi ulivyohitimisha, nashindwa kuelewa inakuwaje mtu mzima na mwenye shahada ya uzamilli(kama ni kweli), kichwa chake kiwe na fikra kama zako.
 
Dadam!
Mapenzi ni kitu inatoka moyoni si cha kulazimisha kwa pesa au kumuonea mtu huruma! so kama moyo haukutumi kwenda kwa wa Mwanza usilazimishe ACHANA NAE lakini fanya taratibu kiasi kwamba mpaka mwishoni nakuhakikishia mwenyewe atajishtukia yupo mwenyewe mwanaume anakunywa sumu ati anatetea penzi anaweza kuwa BABA WA FAMILIA? hicho tu kilikuwa kigezo cha kumpiga chini. Huyo wa ofisini nae naona hana future kwako anakutumia tu...tulia kwa sasa my dada coz kuendelea na huyo wa ofisini kunakuzibia bahati maana kuna wanaokuona nae wana-conclude kuwa ni jamaa yako zen nao wanakosa interest na wewe. Na hii kuwa na Masters then unasoma tena Postgraduate Diploma?? anyway ungepata mwanaume mwenye upeo angeweza pia kukushauri maana maisha si shule tu mwanzo mwisho (ukizingatia una Masters tayari) ungeweza kutumia huo muda na hiyo ada/hela unayolipa chuoni kufanya kitu kingine cha kuwaongezea kipato. Wakati huu ni wa kutulia na kupata mwenzi wako mkapanga pamoja mkaoana mkawa na familia.
Frank Temu
 
Nadhani sio wote tunauwezo mzuri kukushauri,ila nadhani nawewe huna msimamo toka awali...!Piga chini wote then anza upya kuwa single till wakija wengine tena wanaojua kissing na sex coz ni ugonjwa wako mkubwa!
 

Nadhani ushauri wa Kongosho ni perfect, huyo wa kazini we mpige chini unapoteza muda wako bure. Halafu zingatia ushauri wa Kongosho kwa yule wa Mwanza. Kupata mwanaume anaye-care ni bahati, na ukimpata ujue umepata msingi wa familia yako. Hayo mambo mengine ya chumbani mtafundishana tu over time. Tatizo lenu mnataka mapenzi ya kitabuni, halafu mnasahau kuwa si wote wanaosoma au kusimuliana hayo mambo. Si ajabu wewe mwenyewe mengi umeyajua kwa kusoma au kusimuliwa!
 
Pole sana ila Dada yangu unaonekana nawe u mchakachauaji anayekupenda haumndi, unayempenda hakupendi tambua kuwa unayempenda ana mchumba wake anayependa ndio maana si kila wakati atakutafuta
 
aah,una kisa kizuri sana!enyway,none of the above,anza upya
 
dah, sikujua kama 'being a good kisser' nacho ni kigezo muhimu cha kuchagua a life partner... ; and frankly speaking, kwa vile haiwezekani kupata husband material mwenye vigezo vyote unavyovitamani, a pragmatic approach ni kuwa na mafiga matatu: a good provider; a fuc'king machine; and a good looking, six-feet, six-pack dude...
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…