MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
We endelea kuunguza mapafu na mdomo uendelee kunuka na kukohoa hovyoUsifananishe fegi na vitu vya ajabu. Yani walevi mara watukane, walale mitaroni, wajinyee, wabebe bar maids[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pombe kitu cha ajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Namshukuru Mungu kunipatia Mume ambaye ameachana na aina Fulani za pombe.... Siku ana kiu atakunywa Redwine.... Glass mbili tatu. His Lips are very sweet, tasty, so yummy πππ... I can kiss him all night longπ€©π€©π€©.... Hakuna maharufu mabovu mabovu ya Sigara na Kucheua Ndovu ......πππππMlipeni kwanza konda nauli zake kisha muendelee na malumbano ya hoja. Bora mnywa pombe sema inategemea pia na aina ya pombe aliyokunywa.
We endelea kuunguza mapafu na mdomo uendelee kunuka na kukohoa hovyo
Halafu mnakuwa na jasho fulan hvi mnatoka na harufu mbaya mnapoteza hadi sauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Namshukuru Mungu kunipatia Mume ambaye ameachana na aina Fulani za pombe.... Siku ana kiu atakunywa Redwine.... Glass mbili tatu. His Lips are very sweet, tasty, so yummy [emoji39][emoji39][emoji39]... U can kiss him all night long[emoji2956][emoji2956][emoji2956].... Hakuna maharufu mabovu mabovu ya Sigara na Kucheua Ndovu ......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa sichoki kwa kweli.... So sweet, Tasty, Yummy, Tunapiga mswaki kabla ya kulala usiku.... So ni mwendo wa lambalamba πππ€©π€£His Lips are very sweet, tasty, so yummy [emoji39][emoji39][emoji39]... I can kiss him all night long[emoji2956][emoji2956][emoji2956].... Hakuna maharufu mabovu mabovu ya Sigara na Kucheua Ndovu ......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..... [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru Mungu situmii kilevi chochote, Ila bora hata umsogelee mlevi wa Pombe kuliko wa Sigara aisee. Na sigara sijui zina uraibu gani maana mtumiaji akikaa saa bila kupuliza moshi hajisikii vizuri kabisa utaona anaanza kuwa uncomfortable. Hata awe Ikulu lazima tu atatafuta mahali kwenye kaupenyo avute zake kisha arudi kundini.Namshukuru Mungu kunipatia Mume ambaye ameachana na aina Fulani za pombe.... Siku ana kiu atakunywa Redwine.... Glass mbili tatu. His Lips are very sweet, tasty, so yummy πππ... I can kiss him all night longπ€©π€©π€©.... Hakuna maharufu mabovu mabovu ya Sigara na Kucheua Ndovu ......πππππ