Yupi bora kati ya mvuta sigara na mnywa pombe?

Yupi bora kati ya mvuta sigara na mnywa pombe?

Usifananishe fegi na vitu vya ajabu. Yani walevi mara watukane, walale mitaroni, wajinyee, wabebe bar maids[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pombe kitu cha ajabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
We endelea kuunguza mapafu na mdomo uendelee kunuka na kukohoa hovyo

Halafu mnakuwa na jasho fulan hvi mnatoka na harufu mbaya mnapoteza hadi sauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mabishano ya walevi vilabuni unaleta yajadiliwe na Great thinker
 
Mlipeni kwanza konda nauli zake kisha muendelee na malumbano ya hoja. Bora mnywa pombe sema inategemea pia na aina ya pombe aliyokunywa.
Namshukuru Mungu kunipatia Mume ambaye ameachana na aina Fulani za pombe.... Siku ana kiu atakunywa Redwine.... Glass mbili tatu. His Lips are very sweet, tasty, so yummy 😋😋😋... I can kiss him all night long🤩🤩🤩.... Hakuna maharufu mabovu mabovu ya Sigara na Kucheua Ndovu ......😂😂😂😂😂
 
His Lips are very sweet, tasty, so yummy [emoji39][emoji39][emoji39]... U can kiss him all night long[emoji2956][emoji2956][emoji2956].... Hakuna maharufu mabovu mabovu ya Sigara na Kucheua Ndovu ......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..... [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Namshukuru Mungu kunipatia Mume ambaye ameachana na aina Fulani za pombe.... Siku ana kiu atakunywa Redwine.... Glass mbili tatu. His Lips are very sweet, tasty, so yummy [emoji39][emoji39][emoji39]... U can kiss him all night long[emoji2956][emoji2956][emoji2956].... Hakuna maharufu mabovu mabovu ya Sigara na Kucheua Ndovu ......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
His Lips are very sweet, tasty, so yummy [emoji39][emoji39][emoji39]... I can kiss him all night long[emoji2956][emoji2956][emoji2956].... Hakuna maharufu mabovu mabovu ya Sigara na Kucheua Ndovu ......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..... [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa sichoki kwa kweli.... So sweet, Tasty, Yummy, Tunapiga mswaki kabla ya kulala usiku.... So ni mwendo wa lambalamba 😋😍🤩🤣

Hakuna harufu za Kucheua Ndovu 😜😜😜😜
 
Namshukuru Mungu kunipatia Mume ambaye ameachana na aina Fulani za pombe.... Siku ana kiu atakunywa Redwine.... Glass mbili tatu. His Lips are very sweet, tasty, so yummy 😋😋😋... I can kiss him all night long🤩🤩🤩.... Hakuna maharufu mabovu mabovu ya Sigara na Kucheua Ndovu ......😂😂😂😂😂
Nashukuru Mungu situmii kilevi chochote, Ila bora hata umsogelee mlevi wa Pombe kuliko wa Sigara aisee. Na sigara sijui zina uraibu gani maana mtumiaji akikaa saa bila kupuliza moshi hajisikii vizuri kabisa utaona anaanza kuwa uncomfortable. Hata awe Ikulu lazima tu atatafuta mahali kwenye kaupenyo avute zake kisha arudi kundini.
 
Back
Top Bottom